Mtie adabu mwanamke kwa mwanamke mwenzie

Mtie adabu mwanamke kwa mwanamke mwenzie

Ni kweli 100%

Ukitaka kumkomesha mwanamke we mtafutie mwanamke mwenzake,lazima heshima irudi
Inategemea, unaweza mtafutia mwanamke mwenzie basi na yeye akakutafytia mwanaume mwenzie, hahaha au akafungasha akampisha mwenzie halafu ukajikuta uruka mkojo ukakanyaga nnya, cha msingi kunapokua na kutielewana kwenye mahusiano ni kuzungumza na kusameheana

Hayo menhine ni kuongeza matatizo na si kutatua matatizo wala kumkomesha mtu
 
Kwa hiyo huyo mume aliyeleta mwanamke mwingine unamuona wa maana? Ndoa haijaribiwi..unapofanya jambo uwe umejiandaa kwa matokeo yoyote
Mwanaume anapojaribu kufanya kila mbinu kukurekebisha kuwa vile anavyotaka...kwenye tabia na mwenendo mzuri anaotaka...likishindikana anakuletea mke mwenzio...ilia apate kile anachokitaka...

Wanawake wengi wakipata ndoa hujisahau na kujikuta washapata kila kitu...
 
Naona hujapanick[emoji3][emoji3]. Huo ni mtazamo wako na ubavu wa kuoa tena unao. Wenzio hawana ubavu huo. Kama unania ya kujenga ndoa ijenge lkn usibomoe ukategemea mke anyooke, si kizazi hiki
Kama siwezi kukunyoosha mke wangu...nakurudisha tu kwenu...ukanyooshwe na ulimwengu...
 
Akimchukua rafiki yangu nami navuta njemba jipya, mapambano yaendelee
Hahah tena njemba lililomzidi kika kitu kuanzia apearance, elimu, mkwanja, ...ongezea mengine
 
dawa ya mwanaume ni mwanaume mwenzie
Dawa
dawa ya mwanaume ni mwanaume mwenzie
Wanawake kwa asili wanapenda ushindani na kujilinganisha haswaa na wanayofanya wenzao yaani hapo kawaida tu bila bifu.

Sasa ikitokea bifu haya mambo yanageuka kama vile dawa inavyopambana na ugonjwa.

Hali hii kidogo tofauti na wanaume so mwanaume kuwa dawa kwa mwanaume mwenzake kunategemea...

Mwanaume hajui kukomoa ama kuumiza kwa visasi km mwanamke sasa ukitaka umtumie kama dawa inategemea na ugonjwa...
 
Mwanaume anapojaribu kufanya kila mbinu kukurekebisha kuwa vile anavyotaka...kwenye tabia na mwenendo mzuri anaotaka...likishindikana anakuletea mke mwenzio...ilia apate kile anachokitaka...

Wanawake wengi wakipata ndoa hujisahau na kujikuta washapata kila kitu...
Unawashauri wanawake watumie mbinu gani kuwarekebisha waume zao?
 
Kujidhalilisha labda Kama unagegedwa hadharani. Hayo ya kumuasi mola nitajuana nae siku ya judgement day
Hahahah...huionei huruma hiyo papuchi yako inavyosagwa sagwa na yeyote tu...?

Hivi unadhani Una uwezo wa kumjibu Mola wako siku hiyo...kwa vile ulivyo muasi?
 
Inategemea, unaweza mtafutia mwanamke mwenzie basi na yeye akakutafytia mwanaume mwenzie, hahaha au akafungasha akampisha mwenzie halafu ukajikuta uruka mkojo ukakanyaga nnya, cha msingi kunapokua na kutielewana kwenye mahusiano ni kuzungumza na kusameheana

Hayo menhine ni kuongeza matatizo na si kutatua matatizo wala kumkomesha mtu
Maamuzi kama haya yanakuja wakati ambapo hata maelewano yameshindikana...

Nikikushindwa mama unaenda kwenu...
 
Maamuzi kama haya yanakuja wakati ambapo hata maelewano yameshindikana...

Nikikushindwa mama unaenda kwenu...
Hakuna kinachoshidikana kwa wapendanao, wewe kama mume ni kichwa cha familia na kiongozi wa familia, sasa kiongizi wa familia una mamlaka yote na hekima zote za kutatua hata yasiyowezekanika
 
Hahahah...huionei huruma hiyo papuchi yako inavyosagwa sagwa na yeyote tu...?

Hivi unadhani Una uwezo wa kumjibu Mola wako siku hiyo...kwa vile ulivyo muasi?
Haiwezi sagwa na yoyote mkuu, ukisagwa na yoyote haina Raha. Atakabidhiwa mmoja anayejua kuitumia.
 
Haiwezi sagwa na yoyote mkuu, ukisagwa na yoyote haina Raha. Atakabidhiwa mmoja anayejua kuitumia.
Sasa kwani huyo asipoweza kuitumia vzr...c utatafuta mpk umpate...?
 
Back
Top Bottom