Mtie adabu mwanamke kwa mwanamke mwenzie

Haipo hivyo, ukiwa kwenye ndoa haimaanishi hutamani nje, Ni vile tu unajizuia kwasababu Ni mke wa mtu..ukijeruhiwa ni rahisi kuangukia huko. Na pia haitakuwa kwa kushurutishwa bali kwa kuamua mwenyewe .
Ukishajeruhi moyo wa mtu hata sex haitakuwa kivile Tena. So km unachepuka fanya tu kwa kushindwa kuzuia tamaa zako lkn useme unamkomoa mke utaishia kujikomoa mwenyewe.
Labda Kama umeamua muishi hivyo
Okay.
 
Na adui wa mwanaume nani?
Mwanaume hana adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu ni maslahi ya kudumu tu...

Nadra sana kuona mwanaume eti anamchukia mtu kama ilivyo kwa mwanamke ambaye anaweza chukia mtu akakwambia, "Mimi simpendi yule" ukimuuliza kwanini??? utasikia anasema, "basi tu".
 
Wanazuoni wanasema hivi, HAKUNA WA KUMTIA ADABU MWANAMKE ISIPOKUWA MWANAMKE MWENZIE...

Mwanaume usihangaike kupambana na mwanamke wako...huyo humuwezi na hutomuweza...huyo dawa ni mwanamke mwenzie tu...

Nakaribisha maswali maoni na mapingamizi...
kabxa mkuu kwa kilichonitokea naunga mkono hoja
 
Hapana, Mimi namuheshimu anayeniheshimu..kuchukua mwanamke mwingine ili heshima irudi haitatokea. Heshima itashuka mpk atajuta yeye
Ndio ushaivunja ndoa yako hivyo...
 
Naweza nisimuache lkn sitajivunga nikitongozwa..kiufupi ukaribu na yeye ndo umeisha hivyo
HAHAHAH KWELI NILIKUWA NASIKIAGA TU WANAWAKE WA AINA HII KUMBE MPO...

SASA HAPO NA WEWE UNAMKOMOA NANI...ALIYELETWA MPYA ATAITUNZA NDOA YAKE NA KUIIMARISHA WAKATI WEWE...UNAENDA KUJIDHALILISHA HUKO NJE UKIDHANI UNAMKOMOA...Huwaga akili mnapeleka wapi...
 
Mngejua...hilo ni onyo tu...ndio maana hakuachi ili ujirekebishe...

Ukizidisha jeuri na kibri...unaachwa tu...hakuna kinachopungua kwa mwanaume...wanawake wenye akili na nia ya ndoa wapo wengi nje...wataolewa...wewe nenda kagangamale kugawa uchi wako kwa wanaume huko ukidhani unanikomoa kumbe unajidhalilisha wakati ndoa ilikuheshimisha...

(Nimeongea tu kama mazungumzo tu...wala SIJAPANICK)
 
[emoji38][emoji38] aje aimarishe ndoa ipi labda? Huyo mpya ataendelea kuwa mchepuko. Muhusika Hana ubavu wa kuoa Tena. Ndoa itakuwa imeharibika tutalipeleka tu hivyo hivyo hakuna namna. Jiheshimu uheshimiwe.. otherwise usitegemee heshima feki.
 
Kwa hiyo huyo mume aliyeleta mwanamke mwingine unamuona wa maana? Ndoa haijaribiwi..unapofanya jambo uwe umejiandaa kwa matokeo yoyote
 
Mngejua...hilo ni onyo tu...ndio maana hakuachi ili ujirekebishe...

Ukizidisha jeuri na kibri...unaachwa tu...hakuna kinachopungua kwa mwanaume...wanawake wenye akili na nia ya ndoa wapo wengi nje...wataolewa...wewe nenda kagangamale kugawa uchi wako kwa wanaume huko ukidhani unanikomoa kumbe unajidhalilisha wakati ndoa ilikuheshimisha...

(Nimeongea tu kama mazungumzo tu...wala SIJAPANICK)
Naona hujapanick[emoji3][emoji3]. Huo ni mtazamo wako na ubavu wa kuoa tena unao. Wenzio hawana ubavu huo. Kama unania ya kujenga ndoa ijenge lkn usibomoe ukategemea mke anyooke, si kizazi hiki
 
Haipo hivyo, ukiwa kwenye ndoa haimaanishi hutamani nje, Ni vile tu unajizuia kwasababu Ni mke wa mtu..ukijeruhiwa ni rahisi kuangukia huko. Na pia haitakuwa kwa kushurutishwa bali kwa kuamua mwenyewe .
Ukishajeruhi moyo wa mtu hata sex haitakuwa kivile Tena. So km unachepuka fanya tu kwa kushindwa kuzuia tamaa zako lkn useme unamkomoa mke utaishia kujikomoa mwenyewe.
Labda Kama umeamua muishi hivyo
Me nazungumzia upande wa kuongeza mke na sio mchepuko...
 
Siwezi semea mioyo ya watu wengine. Life is too short nafanya lolote nitakaloona linanipa furaha.
Hata kama linakudhalilisha...
Au linamuasi Mola wako..

Ili mradi linakupa furaha tu au sio?
 
Hata kama linakudhalilisha...
Au linamuasi Mola wako..

Ili mradi linakupa furaha tu au sio?
Kujidhalilisha labda Kama unagegedwa hadharani. Hayo ya kumuasi mola nitajuana nae siku ya judgement day
 
Ni kweli 100%

Ukitaka kumkomesha mwanamke we mtafutie mwanamke mwenzake,lazima heshima irudi
muda huo mchafu niupate wapi, akinizingua, achape lapa nianze moja.
Unapopambanisha wanawake unaweza kusababisha mauaji bure
 
[emoji38][emoji38] aje aimarishe ndoa ipi labda? Huyo mpya ataendelea kuwa mchepuko. Muhusika Hana ubavu wa kuoa Tena. Ndoa itakuwa imeharibika tutalipeleka tu hivyo hivyo hakuna namna. Jiheshimu uheshimiwe.. otherwise usitegemee heshima feki.
Nazungumzia ndoa za kiislaam zinazoruhusu mke zaidi ya mmoja...huwezi zuia mmeo kuongeza mke mwingine...
 
Back
Top Bottom