Mtie adabu mwanamke kwa mwanamke mwenzie

Labda Mimi nipo tofauti jamani, ukichukua mwanamke mwingine naweza kuumia lkn heshima kurudi mweh! Haijawahi tokea
 
Wanazuoni wanasema hivi, HAKUNA WA KUMTIA ADABU MWANAMKE ISIPOKUWA MWANAMKE MWENZIE...

Mwanaume usihangaike kupambana na mwanamke wako...huyo humuwezi na hutomuweza...huyo dawa ni mwanamke mwenzie tu...

Nakaribisha maswali maoni na mapingamizi...
Oweni ktk munaowapenda kuanzia wawili .......
 
Labda Mimi nipo tofauti jamani, ukichukua mwanamke mwingine naweza kuumia lkn heshima kurudi mweh! Haijawahi tokea
7bu hujawahi kumuudhi umpendae kisha akaamua kukukomesha kwa rafiki yako wa karibu
wanaume tukiamua kulipa kisasi nakwambia tabu yake inakuwa hatari jitahidi. uishi vizuri na mpenzio Mumeo
 
Wanazuoni wanasema hivi, HAKUNA WA KUMTIA ADABU MWANAMKE ISIPOKUWA MWANAMKE MWENZIE...

Mwanaume usihangaike kupambana na mwanamke wako...huyo humuwezi na hutomuweza...huyo dawa ni mwanamke mwenzie tu...

Nakaribisha maswali maoni na mapingamizi...
Wewe ni ke au ni me
 
7bu hujawahi kumuudhi umpendae halafu akaamua kukomesha kwa rafiki yako wa karibu wanaume tukiamua kulipa kisasi nakwambia tabu yake inakuwa hatari omba uishi vizuri na mpenzio mumeo
Akimchukua rafiki yangu nami navuta njemba jipya, mapambano yaendelee
 
Labda Mimi nipo tofauti jamani, ukichukua mwanamke mwingine naweza kuumia lkn heshima kurudi mweh! Haijawahi tokea
Akili itakukaa sawa tu...labda uwe kama mke wa LUUT...
 
Haijawahi nikaa sawa, wa kwangu atafanya makosa yote Ila suala la Mimi kugundua ana mwanamke mwingine anapata taabu yeye, sijawahi muheshimu kwa Hilo..Mara zote mapenzi hupungua na simchukulii serious Tena. Sasa Raha ikwapi hapo?
 
Back
Top Bottom