Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,799
- 95,628
Hapana, Mimi namuheshimu anayeniheshimu..kuchukua mwanamke mwingine ili heshima irudi haitatokea. Heshima itashuka mpk atajuta yeyeHahahahahahaha we ni jeuri
Hapana, Mimi namuheshimu anayeniheshimu..kuchukua mwanamke mwingine ili heshima irudi haitatokea. Heshima itashuka mpk atajuta yeyeHahahahahahaha we ni jeuri
Kwanza akichukua mwingine Mimi namuacha kabisaaaa mambo yasiwe mengiHapana, Mimi namuheshimu anayeniheshimu..kuchukua mwanamke mwingine ili heshima irudi haitatokea. Heshima itashuka mpk atajuta yeye
Nilikuwepo asubuhi kujibu uzi nilianzishiwa jana nikatoka...nimerudi mida hiiPoa mamiii
Naona ndio unaibuka kijuweni
Naweza nisimuache lkn sitajivunga nikitongozwa..kiufupi ukaribu na yeye ndo umeisha hivyoKwanza akichukua mwingine Mimi namuacha kabisaaaa mambo yasiwe mengi
Naweza nisimuache lkn sitajivunga nikitongozwa..kiufupi ukaribu na yeye ndo umeisha hivyo
Heee washakuwahi hadi uzi? Hahaha nikabaki nalia na moyooo(naimbaa)Nilikuwepo asubuhi kujibu uzi nilianzishiwa jana nikatoka...nimerudi mida hii
Mkiwa hamjaona ni rahisi kumuacha. Ukiwa kwenye ndoa ni vigumu kidogo so madhara yake ni makubwa mno..Hahahahahahaha sasa ukiondoa ukaribu si ndo umeshamwacha mama
Ahaa okMkiwa hamjaona ni rahisi kumuacha. Ukiwa kwenye ndoa ni vigumu kidogo so madhara yake ni makubwa mno..
Kwahiyo utakua unaenda nje unagongwa unafurahia halaf ukirud ndan huna raha lakin unagongwa tena.Mkiwa hamjaona ni rahisi kumuacha. Ukiwa kwenye ndoa ni vigumu kidogo so madhara yake ni makubwa mno..
Hasara kivipi yaani?Kwahiyo utakua unaenda nje unagongwa unafurahia halaf ukirud ndan huna raha lakin unagongwa tena.
Mwendo wa kugongwa nje ndani...Hapo hasara kwako
Heee washakuwahi hadi uzi? Hahaha nikabaki nalia na moyooo(naimbaa)
Hasara kivipi yaani?
Hasara hapo kwenye kutumika bila kuoenda.Maana ukivuta njemba mpya maana yake umefanya hivyo si kwa kuoenda bali kwakua mumeo kakukosea heshima ya kuvuta mchepuko.So utakua unanfanya kama ku back fire so unatoa penz si kwa kutaka japo umeridhia kufanya hivyo.Hasara kivipi yaani?
Woi labda kwa mabintiHasara kugongwa many times..huoni kama utawai kuchoka?
Huko kuumia ndo heshima yenyewe.Labda Mimi nipo tofauti jamani, ukichukua mwanamke mwingine naweza kuumia lkn heshima kurudi mweh! Haijawahi tokea
Woi labda kwa mabinti
Haipo hivyo, ukiwa kwenye ndoa haimaanishi hutamani nje, Ni vile tu unajizuia kwasababu Ni mke wa mtu..ukijeruhiwa ni rahisi kuangukia huko. Na pia haitakuwa kwa kushurutishwa bali kwa kuamua mwenyewe .Hasara hapo kwenye kutumika bila kuoenda.Maana ukivuta njemba mpya maana yake umefanya hivyo si kwa kuoenda bali kwakua mumeo kakukosea heshima ya kuvuta mchepuko.So utakua unanfanya kama ku back fire so unatoa penz si kwa kutaka japo umeridhia kufanya hivyo.
Halaf kwakua hujamuacha man wako then suala la kumpa vyake mkiwa ndani kama wanandoa litaendelea tu lazima ingawa utampa basi tu kwakua ni mumeo lakin ashakutoka rohon ila kugongwa utagongwa.
Sasa huon kama utakuwa umetwisha mizigo miwil hii na kujigeuza kengele ya st.kayumba unagongwa kila breaktime.Ndani na nje
Siwezi semea mioyo ya watu wengine. Life is too short nafanya lolote nitakaloona linanipa furaha.Kwa watu wazima hakuna shida??
Huoni mpaka tumefunga Biashara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbeee