MTI HUU KWA LUGHA YA KIKABILA CHENU MUNAUITAJe?


Honey Faith

Honey Faith

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2013
Messages
15,844
Likes
5,769
Points
280
Honey Faith

Honey Faith

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2013
15,844 5,769 280
sijui hata kilugha chetu tunauitaje ngoja nitamuuliza bibi
 
TECHMAN

TECHMAN

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Messages
2,670
Likes
186
Points
160
TECHMAN

TECHMAN

JF-Expert Member
Joined May 20, 2011
2,670 186 160


na huu wengi wanakosea jina, wanauita mgomba badala ya mdizi.

mpapai huzaa papai.
mchungwa huzaa machungwa
mwembe huzaa embe
mdizi huzaa ndizi
 
Dotworld

Dotworld

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2011
Messages
3,934
Likes
159
Points
160
Dotworld

Dotworld

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2011
3,934 159 160
MziziMkavu

Huo mmea kwa lugha ya kwetu ya Kikorea tunauita 파파야의 ... tamka papayaui in Korean
.
 
Last edited by a moderator:
kadakokigondile

kadakokigondile

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2013
Messages
1,712
Likes
2
Points
135
kadakokigondile

kadakokigondile

JF-Expert Member
Joined May 17, 2013
1,712 2 135
Kikwetu tunaita paipai na watani wangu wasukusu wanaita jibabayu
 
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Messages
15,418
Likes
5,697
Points
280
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2009
15,418 5,697 280
Mpapayu!mkuu hujui kuwa hawa dot com hawajui vilugha?
 

Forum statistics

Threads 1,261,950
Members 485,438
Posts 30,110,520