Wakati mwingine, bora kikimbia tu....
Hapo simba atapona tu kama pembe haijamtoboa, vinginevyo, kwisha kazi yake.
Ila duhh, amepaishwa hewani kama mpira..!!
Lioness Siena from the Marsh Pride of lions in the Masai Mara was badly injured on her left lower flank by a buffalo horn.
Kibano cha haja hiki
Hizi ndio 'risks' za kutafuta msosi.
Ila wataalam wa wanyama pori walimuona na kumuwahisha matibabu na baadaye akapona.
Ila 'jasho' ilimtoka simba huyu.
Kuna simba wengine wanakufa katika 'harakati' kama hizi.
Hili pigo lilikuwa la kuangamiza
Mungu mkubwa ila maisha bwana hayana formula yani kakoswakoswa kwenye kuua sasa katibiwa ili akaue tena!!!!ila kwakuwa ndio jinsi yake ya kuishi okay
kweli kwenye kutafuta rizki huwaga ni hatari... mwituni majanga kama haya... mjini escrow hiyoo... sijui wapi ni nafuu..
Hahahahaaa kote kote mboga moto ugali moto
Na wakati huu atakuwa makini mno na ataua kikatili zaidi!