Mtela Mwampamba, kamatia hapohapo


Hatimaye safari yake imefikia tamati! Atarudi tena alikoanzia. Hakuna namna. Kiherehere chake cha kutaka kuchovya kila sehemu kimemponza baada ya kusahau ile methali isemayo 'usione vyaelea, vimeundwa'
 
Dogo ameonewa na kudhalilishwa. Justice for mtela
 
Andunje siyo tusi Mami, hiyo Kiswahili tunaita wajihi.
 
May 2016 hadi June 2020 ni miaka 5, napo ni mbali!.
P
Rais ametupa dongo kwa Wazaramo kwa kushindwa kumuoa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo

Je, Unakubaliana na Rais Dkt. Magu kuwa Wazaramo wameshindwa kazi? Na unafikiri ni Kabila gani lingeweza kufanikisha zoezi?
 

We si Umesharudishiwa leseni yako then kua mpole mkuu,endelea kusifia na kuabudu kwa sana tu.
 
Rais ametupa dongo kwa Wazaramo kwa kushindwa kumuoa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo

Je, Unakubaliana na Rais Dkt. Magu kuwa Wazaramo wameshindwa kazi? Na unafikiri ni Kabila gani lingeweza kufanikisha zoezi?

Ukimwi upo wazeiya,umakini ni muhimu.
 
Hivi mkuu huwezi kuongea kiswahili mwanzo mwisho...ujue sisi wengine tunamiss hapo kwaenye english...
 
Huyo DAs mtenguliwa alishindwa nini kula na kipofu? Sidhani na haiingii akilini kwamba ishu personal kama hiyo inamfikia mpaka Rais wewe hujielewi.Huyo ni kwamba alinogewa na akajisahau na akafia kwenye kidonda. Kweli huu ni ujuha.Hata kama ni kula wake za watu ni watu wangapi wanafanya hivyo na hawajulikani? Kifupi huyo ni mzembe wa hali ya juu sana japo nimetoa mawazo kwa kusikiliza upande mmoja tu wa alichokisema Mtukufu wetu. Huenda kaonewa.
 
Nilicheka aliposema sasa na wewe nimekuteuwa mkaanze kugombania wanaume na mkuu wa wilaya wako
Ukiangalia kwa undani sana utagundua kuwa adhabu ile iliwagusa Mtela na Jokate kwa pamoja.
Lakini Jokate kapona kwa sababu zilizohifadhiwa.
Kitendo cha kumuambia DAS mpya nakuteua na wewe mkaanze kugombania wanaume na DC wako ni picha ya wazi kuwa DC anapenda kugombea wanaume hivyo ana tabia za Mtela naye.
Jee kwa nini DC Jokate yeye hajaguswa? Na jee kwani Jokate ni mke wa mtu kiasi cha kusababisha anayefanya mahusiano naye awe amefanya na mke wa mtu?
Maswali ni mengi zaidi ya majibu, hasa tabia hiyo ya Mtela inapoichukiza hadi Ikulu yetu na kuchukuliwa hatua hadharani bila kujali wangapi wataathirika na udhalilishaji ule
 
Mbona sasa kaishia Kisarawe tu? Nauli ya buku tu na chenchi inabaki
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…