Mtei: Zitto Hahitajiki ndani ya CHADEMA, Uamuzi wa Kamati Kuu ni wa Mwisho!

Waku, Katika pitia pitia katika magazeti ya mtandaoni, nimekutana na kauli kutoka kwa mwasisi wa CHADEMA Mzee Edwin Mtei kwenye gazeti la Mwananchi. Pamoja na mambo mengine, taarifa inasema

"Mwasisi wa Chadema, Edwin Mtei amemtaka Zitto aunde chama chake
au atafute kingine cha kujiunga nacho kwa kuwa kwa sasa hana nafasi.
Pia ameshauri kuwa kama ana ndoto za kuwania urais ni vizuri akatafute
vyama vingine kama CCM au CUF kwa kuwa ndani ya Chadema kwa sasa hahitajiki.
Mtei alisema kuwa kama anataka kubakia na uanachama wa Mahakama wao hawana shida...
“Lakini huwezi kuwapeleka viongozi wako kortini na bado ukaendelea kubaki kuwa mwanachama wetu.
”
Alimtuhumu kwa kuwagonganisha viongozi mbalimbali ndani ya Chadema na hata kuzua
mitafaruku ya hapa na pale huku akisema kwamba uamuzi wa Kamati Kuu ndiyo wa mwisho."
Mwisho wa kunukuu.

My take: J
e CHADEMA kama chama ni mali binafsi ya Mzee Mtei ama Wananchama? Kama ni mali ya wanachama, huo ujasiri wa Mzee Mtei kudai kwamba mwanachama fulani hatakiwi ndani ya chama anatoka wapi? Tujadili.​

source:
Zitto aibuka kidedea mahakamani - Kitaifa - mwananchi.co.tz


Update: Kauli nyingine iliyopatwa kutolewa na Mzee Mtei dhidi ya Mhe. Said Arif alipojivua Umakamu mwenyekiti kwa kutuhumiwa kumsaidia Mhe. Pinda kupita bila kupingwa uchaguzi wa 2010 na Kupinga Mzee Mtei kumchagulia watu wa kufanya nao kazi. "Aache Kulalamikia, kwasababu wakati alipochaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti, mimi nilisimamia uchaguzi. Kama alikuwa na ndoto kwamba siku moja atakuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, alipaswa kujichunguza kwanza."

Source: Mwananchi

Penye nyekundu Jijibu mwenyewe ,na matapishi yako!
 
mi mpaka nachoka,viongozi wa chadema walitakiwa kulimaliza hili suala bila hata ya cc wanachama kujua,hapa kuna mtu ambaye hana kabisa busara na anakialibu chama,na huyu ni tundu,sijui anafikiri hiyo sheria wengine hatujaisoma?.
 
Nasemaje, nendeni mkasome huku, "jukwaahuru.com" muone mambo! Nimeweka thread, nashangaa imeyeyuka!!
 
huna tofaut na parasite,hujui maana ya peoples power,hapa minority does not rule,ni majority tu,kwa akil za juu juu utajiona uko sahihi,unapotea kijana kwa kuamin mtu,mtu ni mapito tu!hata huyu mtei hatokuwepo milele...kubal ukatae kuna ubovu kwenye umejificha na siwakat muafaka wa kuendelea kuuficha kwa maendeleo ya chama!

huna tofaut na parasite,hujui maana ya peoples power,hapa minority does not rule,ni majority tu,kwa akil za juu juu utajiona uko sahihi,unapotea kijana kwa kuamin mtu,mtu ni mapito tu!hata huyu mtei hatokuwepo milele...kubal ukatae kuna ubovu kwenye umejificha na siwakat muafaka wa kuendelea kuuficha kwa maendeleo ya chama!
Kiwango chako cha kueleza na kujibu hoja ni chandimu, swali ni Nyerere alipomkataa Malecela alijibinafsishia CCM? kama ndiyo kuna ubaya gani Mtei kufanya hivyo?? kama sio kwanini unadhani ni hivyo kwa Mtei??? wewe ndo unaolewa kifikra kwa kumushabikia mtu badala ya hoja, yaani mtu anatuhmiwa hiki yeye anasema mwenyekiti nae alifanya hiki, hapo kwa wenye akili unakuwa umekubali kosa ila unataka huruma kwa vile wote tunafanya makosa. APOTELEEE HUKO HUYO MSALITI WA UMMA WA TANZANIA. Bahat nzuri UMMA utamshinda
 
Nyerere alimpomkaa Malecela kwani CCM ilikuwa mali binafsi ya Nyerere?? fikiria
kwa akili zako kabla ya kuuliza uliza, NI msngi hiyo hiyo Mtei anasimamia CDM. Ni akili za kawaida umefika mahkamani tayari wewe sio mwanachama, maana uanachama ni wahiari, na mwanachama ana maliza madai yake kwa wanachama ndani ya CHAMA sio vinginevyo

acha upuuzi bwana, kama nyerere alifanya makosa basi ndio kuharalisha makosa? Vyama vya siasa ni mali ya wanachama na wanachama ndio wanaotakiwa kutoa maamuzi ya chama. Kumbuka viongozi wanapaswa tu, kuwakilisha mawazo ya waliowengi ndani ya chama! Na hiyo ndio misingi ya demokrasia.
 
Kiwango chako cha kueleza na kujibu hoja ni chandimu, swali ni Nyerere alipomkataa Malecela alijibinafsishia CCM? kama ndiyo kuna ubaya gani Mtei kufanya hivyo?? kama sio kwanini unadhani ni hivyo kwa Mtei??? wewe ndo unaolewa kifikra kwa kumushabikia mtu badala ya hoja, yaani mtu anatuhmiwa hiki yeye anasema mwenyekiti nae alifanya hiki, hapo kwa wenye akili unakuwa umekubali kosa ila unataka huruma kwa vile wote tunafanya makosa. APOTELEEE HUKO HUYO MSALITI WA UMMA WA TANZANIA. Bahat nzuri UMMA utamshinda

Kama unaamini ni msaliti kausaliti vipi umma wa Tanzania? Yeye kuwa na mtazamo tofauti na viongozi wake/wenzake basi tujue kuwa ni usaliti?
 
Mbona Mka muuwa Nyerere? mlijua ndio Kila Ki2 CCM. Ndo hvyo Kila mahala kuna Wazee washauri wa karibu na wanajua nini mbivu nini mbichi. chunguzeni hata vyama vingine vina wazee wake. Mfano manji kwa yanga akisema go u go!
 
1010567_585356611534695_708025846_n.jpg
kijana moto huyo chezea ZZK ulale mlango wazi!!!!!
 
Wachaga tulieni tutawajibi hawa mahayawani, mchaga mchaga, kwa ukombozi unahitaji makabila yote kabla ya kuwa na sifa za ukombozi???? basi yesu asingekomboa dunia nzima yeye mmoja wa kabila moja,
 
Mzee Mtei kama mwanachama ana sense ya ownership. Na wewe kama mwanachama wa chama chako lazima uwe na sense of ownership. Hiyo ndio maana ya uzalendo. Sio huu wakwenu wa kuuma na kupuliza.

enu tu hata kutokea hayatatokea Zitto ataendelea kuwa na Ubunge wa mahakama
mzee mtei ni mtu anae jua so hivyo mnayosema nazani nimawazo y:sick:
 
Kwahiyo unakubali kuwa Mtei ni Ayatollah wa CHADEMA kama ambavyo Nyerere alivyokuwa CCM. So Role model ya CHADEMA ni CCM.

Ndo mwenye chama kama alivyo JK . ukitaka kaanzishe cha kwako, kwani Zito hakuona mfano wa yaliyo mkuta Kafulila pale NCCR, au Hamadi Rashidi? Baati nzuri wanachama chao kinaitwa CHAUMA.
 
Acha kupotosha na kampeini zenu za hovyo dhidi ya ZZK. Mtei hajasema yeye hamtaki ZZK bali hatakiwi ndani ya chama. So huo ndo msimamo wa chama.
 
Back
Top Bottom