Mtei: Zitto Hahitajiki ndani ya CHADEMA, Uamuzi wa Kamati Kuu ni wa Mwisho!

bobo lee

Senior Member
Dec 31, 2013
111
170
hapana ndugu, mzee katoa yaliyo ya moyoni. maamuz ya mwisho yapo baraza kuu. na yeye ni member, so ikifika wakati wa kupiga kura zitto afukuzwe atapiga kura kama wengi wakisema aondoke au la., will decide destiny ya zitto.

Mambo yote yaliyosemwa na viongozi nje ya vikao vya chama yametokea wewe unaishi mbingu gani usijue chadema ni slaa,mbowe,mtei na walipa fadhila wao lisu,mnyika,lema etc
 
Jadi

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
1,495
2,000
Sitaingia sana maana zito ni kama marehemu aliyepoteza pumzi iitwayo chadema.Ila nimejifunza kwamba ramadhani ighondu ni zaidi ya ibilisi na kikwete sio mtu wa kumwamini hata kidogo na mwisho kama zitto anahisi yeye ni mzito hivyo, kwanini asihame tuione hiyo cdm inavyopasuka.chadema itasimama tu.na zitto ni mwepesi tu kama ubua.

chadwema ipasuke mara ngapi??!! mtabakia arusha na moshi tu wabaguzi nyie, yaani mwaka huu ukiisha mtakuwa zero na mwakani kwenye uchaguzi hamtapata hata jimbo moja zero nyie
 
OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
19,156
1,250
Mwalimu JK Nyerere alitamka wazi kuwa endapo Malecela atachukua Form na kuwania Urais wa Tanzania atarudisha Card yake ndani ya Chama Cha Mapinduzi, je ? CCM ni mali yake ?.

Hayo ndio yametujazia watoto wa viongozi wilayani mpaka serikali kuu!!!!
Bado na nyie mnataka hayo hayo tu!!!!
Kwani angekaa kimya ingekuwaje???!!!
Hivi aliongea nini wakati tunajadili kuwa mgogoro unakua na kunatakiwa tamko,wakati wanatukanana hapa na risiti zinamwagwa humu yeye alikuwa wapi??!!!!!

Angeweza kuwaita hawa mapema na.wakaenda mbio na kuwakanya,lile bandiko la kuelezea pesa na mabenki ya nje ambao baadae ulikanwa na chama mzee alisimamia wapi na kwa wakati????!!!

Hili lawama kubwa ni kwao wazee hawa kwa kuliacha mpaka lifike hapa,wote wanawajibika kwa nji a moja ama nyingine!!!!
 
Hansard

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
838
250
ImageUploadedByJamiiForums1389193953.238669.jpg
 
AMAFUMU

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
221
225
Waku, Katika pitia pitia katika magazeti ya mtandaoni, nimekutana na kauli kutoka kwa mwasisi wa CHADEMA Mzee Edwin Mtei kwenye gazeti la Mwananchi. Pamoja na mambo mengine, taarifa inasema

"Mwasisi wa Chadema, Edwin Mtei amemtaka Zitto aunde chama chake
au atafute kingine cha kujiunga nacho kwa kuwa kwa sasa hana nafasi.
Pia ameshauri kuwa kama ana ndoto za kuwania urais ni vizuri akatafute
vyama vingine kama CCM au CUF kwa kuwa ndani ya Chadema kwa sasa hahitajiki.
Mtei alisema kuwa kama anataka kubakia na uanachama wa Mahakama wao hawana shida...
“Lakini huwezi kuwapeleka viongozi wako kortini na bado ukaendelea kubaki kuwa mwanachama wetu.
”
Alimtuhumu kwa kuwagonganisha viongozi mbalimbali ndani ya Chadema na hata kuzua
mitafaruku ya hapa na pale huku akisema kwamba uamuzi wa Kamati Kuu ndiyo wa mwisho."
Mwisho wa kunukuu.

My take: Je CHADEMA kama chama ni mali binafsi ya Mzee Mtei ama Wananchama? Kama ni mali ya wanachama, huo ujasiri wa Mzee Mtei kudai kwamba mwanachama fulani hatakiwi ndani ya chama anatoka wapi? Tujadili.​

source:
Zitto aibuka kidedea mahakamani - Kitaifa - mwananchi.co.tz

Update: Kauli nyingine iliyopatwa kutolewa na Mzee Mtei dhidi ya Mhe. Said Arif alipojivua Umakamu mwenyekiti kwa kutuhumiwa kumsaidia Mhe. Pinda kupita bila kupingwa uchaguzi wa 2010 na Kupinga Mzee Mtei kumchagulia watu wa kufanya nao kazi. "Aache Kulalamikia, kwasababu wakati alipochaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti, mimi nilisimamia uchaguzi. Kama alikuwa na ndoto kwamba siku moja atakuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, alipaswa kujichunguza kwanza."

Source: Mwananchi
....ninachoshangaa watanzania ni namna ambavyo wanaponda kitanda wanacholalia na kusifia uvunguni....mtoa hii post unahoji mtei kuwa na nguvu kiasi gani kwenye chama mbon sijakusikia ukihoji nyerere kuwa baba wa taifa na kushangaa yote aliyoamrisha ccm?....samahani sio mfuasi wa siasa ila uwa najaribu kuzifuatilia kwa kujikita kwenye nafasi ya u neutral....!
 
Ngominonge

Member
Dec 29, 2013
5
0
Waku, Katika pitia pitia katika magazeti ya mtandaoni, nimekutana na kauli kutoka kwa mwasisi wa CHADEMA Mzee Edwin Mtei kwenye gazeti la Mwananchi. Pamoja na mambo mengine, taarifa inasema

"Mwasisi wa Chadema, Edwin Mtei amemtaka Zitto aunde chama chake
au atafute kingine cha kujiunga nacho kwa kuwa kwa sasa hana nafasi.
Pia ameshauri kuwa kama ana ndoto za kuwania urais ni vizuri akatafute
vyama vingine kama CCM au CUF kwa kuwa ndani ya Chadema kwa sasa hahitajiki.
Mtei alisema kuwa kama anataka kubakia na uanachama wa Mahakama wao hawana shida...
“Lakini huwezi kuwapeleka viongozi wako kortini na bado ukaendelea kubaki kuwa mwanachama wetu.
”
Alimtuhumu kwa kuwagonganisha viongozi mbalimbali ndani ya Chadema na hata kuzua
mitafaruku ya hapa na pale huku akisema kwamba uamuzi wa Kamati Kuu ndiyo wa mwisho."
Mwisho wa kunukuu.

My take: Je CHADEMA kama chama ni mali binafsi ya Mzee Mtei ama Wananchama? Kama ni mali ya wanachama, huo ujasiri wa Mzee Mtei kudai kwamba mwanachama fulani hatakiwi ndani ya chama anatoka wapi? Tujadili.​

source:
Zitto aibuka kidedea mahakamani - Kitaifa - mwananchi.co.tz

Update: Kauli nyingine iliyopatwa kutolewa na Mzee Mtei dhidi ya Mhe. Said Arif alipojivua Umakamu mwenyekiti kwa kutuhumiwa kumsaidia Mhe. Pinda kupita bila kupingwa uchaguzi wa 2010 na Kupinga Mzee Mtei kumchagulia watu wa kufanya nao kazi. "Aache Kulalamikia, kwasababu wakati alipochaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti, mimi nilisimamia uchaguzi. Kama alikuwa na ndoto kwamba siku moja atakuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, alipaswa kujichunguza kwanza."

Source: Mwananchi

Zitto kama anataka vyeo vya juu aangalie na umri wake. Yeye bado kijana ilmpasa asubiri maana waliopo hawatadumu milele kwenye uongozi. Ingefika tu zamu yake.
 
donimuya

JF-Expert Member
Mar 1, 2011
272
195
LABDA hujuwi historia ya vyama vya siasa hapa nchini, Mwl. Nyerere alipoona Mh. Malecela ni miongoni mwa wagombea unakumbuka alifanya nini? kwa hiyo mimi sioni tatizo kwa Mh. Mtei kutoa kauli kama hiyo, mbona mimi nilishaitoa kauli inayofanana na hiyo muda mrefu, pitia page zangu za jamii forum utaona. tena nilisema ZITO akiendelea kubaki CHADEMA ni sumu kwa ustawi wa chama kwa kuwa ni ndumi la kuwili. najuwa ZITO hana ndoto ya kuwa Rais wa nchi hii kwani vibaraka wa CCM wote huishia pabaya, wameshamtumia kama wenzake na sasa nauona mwisho wa thamani yake ndani ya CCM umewadia.
 
Dan Fodio

Member
Jan 5, 2014
24
0
[Kwa wenzie kinanani..???QUOTE=Kigogo;8325350]Aende cuf maana ndo wenzie hao lakini chadema hatakaa awe mwanachama tena wa chadema...naunga mkono kauki ya muasisi..[/QUOTE]
 
Pol Pot

JF-Expert Member
Dec 5, 2012
983
250
Mtei ni mdini sana wazee kama hawa ni hatari kwa mustakabari wa taifa letu.
 
AMAFUMU

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
221
225
Aende cuf 7bu muislam? Kumbe cdm ya wakristo tumegundua sasa hiki chama kina udini na ukabila

tufanye vitu kwa kutumia ubongo na macho, huku masikio tukiyashirikisha jamani mtei katoa kauli kwa kuangalia sababu zinazomkabiri zitto....mbona nyerere alivyokemea ssm hamkuhoji?.....!
 
minda

JF-Expert Member
Oct 2, 2009
1,068
1,225
[FONT=century
gothic]Waku, Katika pitia pitia katika magazeti ya mtandaoni,
nimekutana na kauli kutoka kwa mwasisi wa CHADEMA Mzee Edwin Mtei kwenye
gazeti la Mwananchi. Pamoja na mambo mengine, taarifa inasema

"Mwasisi wa Chadema, Edwin Mtei amemtaka Zitto aunde
chama chake
au atafute kingine cha kujiunga nacho kwa kuwa kwa sasa hana nafasi.
Pia ameshauri kuwa kama ana ndoto za kuwania urais ni vizuri akatafute
vyama vingine kama CCM au CUF kwa kuwa ndani ya Chadema kwa sasa
hahitajiki.
Mtei alisema kuwa kama anataka kubakia na uanachama wa Mahakama wao
hawana shida...
“Lakini huwezi kuwapeleka viongozi wako kortini na bado ukaendelea
kubaki kuwa mwanachama wetu.
”
Alimtuhumu kwa kuwagonganisha
viongozi mbalimbali ndani ya Chadema na hata kuzua
mitafaruku ya hapa na pale huku akisema kwamba uamuzi wa Kamati Kuu
ndiyo wa mwisho."
Mwisho wa kunukuu.

My take: Je CHADEMA kama chama ni mali binafsi ya Mzee Mtei ama
Wananchama? Kama ni mali ya wanachama, huo ujasiri wa Mzee Mtei kudai
kwamba mwanachama fulani hatakiwi ndani ya chama anatoka wapi?
Tujadili.​

source:
Zitto aibuka kidedea mahakamani - Kitaifa -
mwananchi.co.tz

Update: Kauli nyingine iliyopatwa kutolewa na Mzee Mtei
dhidi ya Mhe. Said Arif alipojivua Umakamu mwenyekiti kwa kutuhumiwa
kumsaidia Mhe. Pinda kupita bila kupingwa uchaguzi wa 2010 na Kupinga
Mzee Mtei kumchagulia watu wa kufanya nao kazi. "Aache Kulalamikia,
kwasababu wakati alipochaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti, mimi nilisimamia
uchaguzi. Kama alikuwa na ndoto kwamba siku moja atakuwa Mwenyekiti wa
CHADEMA Taifa, alipaswa kujichunguza kwanza."

Source: Mwananchi
[/FONT]

mzee mtei anaakisi sauti ya walio wengi cdm na sio kwamba cdm ni mali yake. yuko sahihi. acha majungu mkuu
 
Kigogo

JF-Expert Member
Dec 14, 2007
20,530
2,000
Unamaanisha nini unaposema aende cuf ndio wenzie?
Wakati anakuja cdm wewe ndie uliyemualika? Zitto hatoki kwa midomo yako kufunguka atatoka mwenyewe kwa hiari yake na akiondoka cdm itakuwa imebakia skrepa.

Mbona povu linakutoka sana.. Hahitajiki chadema aende cuf au nccr..au akanzishe chama chake.. Hata ibaki skrepa bado itakuja kusimama lakini chadema haitakaa iongozwe na mtu kama zitto..never on earth
 
sauti nzito

Member
Jan 5, 2014
25
0
mzee mtei anaakisi sauti ya walio wengi cdm na sio kwamba cdm ni mali yake. yuko sahihi. acha majungu mkuu

bado cjaelewa wanachama wa "CHADOMO" wanapigania nini,kuongoza nchi ishakuwa ndo ndoto hvyo....mzee mtei alikuwa wap had Zitto akaenda mahakaman c angeitisha baraza kuu mapema ili Zitto asiende mahakamani aachae umbea yule mzee
 
Munabusule

JF-Expert Member
Oct 28, 2013
976
250
LABDA hujuwi historia ya vyama vya siasa hapa nchini, Mwl. Nyerere alipoona Mh. Malecela ni miongoni mwa wagombea unakumbuka alifanya nini? kwa hiyo mimi sioni tatizo kwa Mh. Mtei kutoa kauli kama hiyo, mbona mimi nilishaitoa kauli inayofanana na hiyo muda mrefu, pitia page zangu za jamii forum utaona. tena nilisema ZITO akiendelea kubaki CHADEMA ni sumu kwa ustawi wa chama kwa kuwa ni ndumi la kuwili. najuwa ZITO hana ndoto ya kuwa Rais wa nchi hii kwani vibaraka wa CCM wote huishia pabaya, wameshamtumia kama wenzake na sasa nauona mwisho wa thamani yake ndani ya CCM umewadia.

Lamwai wapi wajameni
 
talentbrain

JF-Expert Member
Oct 5, 2009
1,166
2,000
"Maamuzi ya kamati kuu ndio ya mwisho" kwa katiba gani? Ndo kwamba Baraza kuu halitaitishwa?
Kwani Nani ktk Tanzania alianzisha chama chake? Je, sheria za vyama vya siasa zinaruhusu vyama binafsi?
 
taamu

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,942
2,000
chadwema ipasuke mara ngapi??!! mtabakia arusha na moshi tu wabaguzi nyie, yaani mwaka huu ukiisha mtakuwa zero na mwakani kwenye uchaguzi hamtapata hata jimbo moja zero nyie

haya sawa sifuri si ahame mbona anakesha mahakamani bana.umesikia sifuri
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom