Mtei, Sumaye na Lowassa wako wapi kuwafunda kina Mbowe?

Hiyo ni concern ya wanachadema?unategemea WanaCCM wahojiane kwa manufaa ya Chadema?
SOMO:WanaCCM watahojiana kwa maslahi na manufaa ya CCM tu and not otherwise.
Vivyo hivyo wanachadema wanatakiwa kuhojiana kwa maslahi na manufaa ya Chadema tu.
Kuna tatizo mleta uzi huu kukosa focus ya kiuchambuzi ha hasa kimstakabari,kimsingi huna relevancy ya core analytical focus kama mtaalam wa political science.
Najua kujua kiingereza si kuwa mbibezi wa taaluma ya siasa na hasa utafiti wake.
Chadema lazima iwe chama cha harakati sababu ya dola kutitengabishwa na ccm.
Kwamba dola ni mali ya umma bila kubagua tabaka liwe la vyama vya siasa,dini,rangi au kabila ,bali ipo kwa matakwa ya umma.
Kwa watawala wa serikali hii dola imeunganishwa kutenda kwa matakwa ya ccm hivyi kubagua na kutotenda haki.
Wataalamu wa siasa wahitimisha kwa kusema,ukiiminya sana haki,mwisho umaa hugeuka kuidai katika nyanja mbalimbali.Fulsa kubawa ya kudai haki katika katiba inazingatia demokrasia na utawaka bora ,harakati hazikwepeki.
Turudi kwenye uchambuzi kama chama kujiimarisha lazima kizingatie matakwa ya umma,katiba,sheria na taratibu tulizojiwekea.leo hata hiyo katiba haizingatiwi,sheria ni double standard,taraibu hazifuatwi,ni vurugu tukiasia kwamba hiyo focus ya ccm kujiirimalisha unaona inaimarishwa kuoata wabunge wengi kinyume sha sheria na taratibu?je umma unaridhishwa na namna hiyo ya matumiziyamayumizi ya uvunjivu wa utawaka bora na matumizi ya nguvu kutimia dola?
Narudi je,itikadi ya ccm kujiimarisha ni kujitenga na umma na kubaki na maslahi ya wana ccm pekee au kujenga utengamano na umma mpana?
Ni kweli dhamira na mkakati wa kujiimarisha unaweza kutathmiwa unavyieleza,lakini wanaoiga kura ni wana ccm pekee?na je gharama zakuiimatisha je ccm ainapata mapato wapi kama si kutokana na mapato ya taifa na walipa kodi?je matabaka mengine ya watanzania hahitaji kufaidika kutokana na rasilimali na mapato ya umma.
Je leo hatuoni ccm inafaidika pekee na mapato ya umma na kuicha jamii ikishangaa matumizi hayo?
Pia kujiimarisha kwa ccm hiku ukiacha uma mpana ukiweweseka na umasikini na kero zisizoisha bila ufumbuzi yakinifu inasaidia nn kwenye umma mpana kwa hilo?
Je tuangalie kujiimarisha kwa ccm kunakofanyika je,si kwa kibaguzi na kumomonyoa mshikamano na umojaambayo ni tunu kubwa ya kusukuma kwenda kwenye utulivu wa kushiriki kwenye maendeleo?
Je ccm haioni kuwa kumomonyoa mshikamano chanzo chake nikutengeneza moasuko mpana ,ambao utaligawa taifa vioandevipande,je huko ni kujiiimarisha au kumomonyoa?
Mdau naishia hapa ila kiuchambuzi haupo ni mahangaikaji mchumia tumbo,umma unataka makubwa kuliko ccm inavyijiimarisha ,mpka sasa ni bure na hakuna kitu
 
Una hoja flani unayotaka kuiwasilisha lakini nashindwa kuipata kwa aina ya uandishi wako ...ni either umelewa au unatumia simu ya kiwango kibovu ...au umepanic na hoja nilizowasilisha.
Hebu tulia na urekebishe uliyojaribu kuyaandika.
 
Kaka acha matusi sijawahi kunywa pombe na simu ninayotumia si ya namna hiy unayodhani,nakushauri nitembelee unione uso kwa uso ndo ulete matusi hayo njoo pm nikuelekeze unitembelee ndo uhitimishe matusi yako
 
Ndugu mtoa hoja naomba kwenye hoja usimame ktk mawazo yako wala usiwasemee wananchi. "No research no right to talk". Unachokifikiria sio mawazo ya watanzania walio wengi wala hatufurahii haya yanayotokea. Tunashangaa viongozi wakuu wastaafu wa awamu ya pili, awamu ya Tatu na awamu ya nne wako kimya!! Enzi zile baba wa Taifa alikemea maovu ya kiuongozi ndani ya chama. Je ni nani mwenye hiyo pumzi ya kukemea maovu yanayofanywa na chama cha mapinduzi awamu hii!! MUNGU INUSURU TANZANIA.
 
Una hoja flani unayotaka kuiwasilisha lakini nashindwa kuipata kwa aina ya uandishi wako ...ni either umelewa au unatumia simu ya kiwango kibovu ...au umepanic na hoja nilizowasilisha.
Hebu tulia na urekebishe uliyojaribu kuyaandika.
Uandishi wangu ni wa kuchagiza na hojaji,una majobu toa huna waachie wenye majibu,lakini lazima majibu do suluhu ya aidha kujiimarisha kwa masilahi mapana au ni kujimarisha hovyo kwa msitakabati wa umma mpana wa watanzania na si maslahi ya ccm pekee
 
Katika hoja yangu sijaongelea maslahi ya CCM au Chadema pekee bali maslahi ya watanzania ...Kujipanga kwa Chadema kutaleta manufaa kwa Watanzania kwani watanzania wataweza kuwa na mbadala katika kufanya maamuzi ya kisiasa.
Katika ushiriki wangu wa siasa kama mwananchi nimeshuhudia wananchi wenyewe kwa hiari yao wakienda kwenye majumuisho ya kuhesabu kura na kusimama kidete ili mgombea wanayemtaka atangazwe.Ukiona hawajafanya hivyo ina maana hawana shaka kuwa waliyemchagua ndiye atakayetangazwa.wananchi hawaogopi crown,virungu wala jezi za vyama....msiaminishe watu uongo.wananchi wanajua ni wakati gani haki yao imeporwa na huwa wanajiorganise bila kofia ya Chama.
Niliexperience hili kwenye field!!
 
Kaka acha matusi sijawahi kunywa pombe na simu ninayotumia si ya namna hiy unayodhani,nakushauri nitembelee unione uso kwa uso ndo ulete matusi hayo njoo pm nikuelekeze unitembelee ndo uhitimishe matusi yako
Pole sana kwa hilo turejee kwenye mada
 
Nimefungua huu uzi mara moja nikimutukane naona ushatukanwa
 
Umeshindwa kuwaulizia Mkapa, Kikwete na Mwinyi wanamuogopa nini Magufuri mpaka wanashindwa kumuadabisha?
Hapa tulipo ni hatari sana. Kwanza niswme tuu kwamba Mbowe ni mwana siasa wa mwaka. Huwezi mfananisha na mwana siasa yeyote ndani ya Ccm. Tujiulize wako wapi walio mwachia jamaa madaraka wamuonyeshe jinsi ya utawala
 
Unataka CCM imrudishe mpole?
 
Mwanzisha mada analeta mada ya kuitathimini Chadema na kuibua mjadala ili tujadiliane mnaanza kumtukana JPM ...Chadema haitajengwa na CCM ....wakati mwingine tumieni akili kidogo basi ili msaidie chama mawazo otherwise mtalialia kila awamu ....JK mlimpa matusi hadi ya kufuru leo mnamkumbuka ....hata JPM mtamkumbuka ....hebu jitafakarini kama watu wenye nia njema na Chadema ....
 
Back
Top Bottom