Kwa akili yako Mbowe anamiliki biashara moja ya Ukumbi wa Burudani (Billicanas)?
Na kama hajalipa/ halipi kodi huoni kama huo ni udhaifu wa Serikali yetu ya CCM ktk kukusanya kodi?
Na kama, kwa namna yoyote ile walitumia nafasi zao vibaya kwa maslahi binafsi wakiwa watumishi wa UMMA kwa nini serikali haikuwachukulia hatua? Huoni kama huo nao ni udhaifu wa Serikali yetu sikivu ya Chama Cha Mapinduzi?
Hii biashara ya chadema inalipa sana
Na bado mnazidi kumchangia mihela
Good explanation...!
Hukuishia hapo ukaanza kuunganisha dots kwa kudai, nanukuu;ZeMarcopolo said:Mwenyekti wa kwanza wa Chadema, Mzee Edwin Mtei, alikuwa Gavana wa BoT. Mwenyeti wa sasa wa Chadema, Mh. Freeman Mbowe, alikuwa mwajiriwa wa BoT.
ZeMarcopolo, kama asemavyo Invisible, Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!:coffee:ZeMarcopolo said:Je, kuunganisha familia hizi ni njia ya kuongeza uaminifu wa "ushirikiano" waliokuwa nao tangu BoT? Je, "ushirikiano" wao waliouanza BoT unaendelea ndani ya Chadema?
ZeMarcopolo, nimekuwa nikijiuliza sana kwa nini pamoja na kujiunga JF tarehe 11/5/2008 (ukiwa umenitangulia kwa siku 20) na baada ya kuwa na posts zaidi ya 10,000 (mimi nikiwa na posts chini ya 4,000), kwa nini rep power yako ni 0 (sufuri). Kwa mara ya kwanza naweza kusema nimepata jibu la swali langu hilo kutokana na post zako ambazo kila siku zinazidi kukufichua uwezo wako kifikra na kiakili. Thread yako ya kwanza jamvini lilikuwa ni la kupongeza jitihada zilizokuwa zikifanyika mjini Moshi kuwasaida watu wenye matatizo ya akili. Wakati huo sikuweza kuunganisha dots hizo juhudi zako zilitokana na msukumo gani hasa?...kwa nini nauliza hivi?
Mzee Edwin I. Mtei, alikuwa Gavana wa Benki kuu kwa kipindi cha miaka minane kuanzia 1966 hadi 1974. Wakati anateuliwa kuwa Gavana mtoto Freeman Aikaeli Mbowe alikuwa na umri wa miaka mitano (alizaliwa mwaka wa uhuru 1961) na wakati Mzee Mtei anaacha kazi Benki Kuu Kijana Mbowe alikuwa na umri wa miaka 13! ZeMarcopolo, umeanza mada yako kwa kusema nanukuu;
Hukuishia hapo ukaanza kuunganisha dots kwa kudai, nanukuu;
ZeMarcopolo, kama asemavyo Invisible, Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!:coffee:
Kwanini Dr.markopolo unajidhalilisha namna hii.Yaani kwa elimu yako na umuhimu wako katika jamii hupashwi kuwa mtu wa kutengeneza majungu na kupika propaganda.Amana wagonjwa wanakufa daily kwa upungufu wa madaktari,nenda kaokoe ndugu zetu huko propaganda waachie kina le mutuz na msalan wasio na elimu yoyote
ZeMarcoplo post yako ingekuwa na maana na watu wengi wangechangia positively kama ungeweka walioiba pesa zetu wote ili tuweze kuchania.Kwa kumuweka Mbowe na Mtei peke yake siyo sahihi na ndiyo maana umepata fedheha kuliko pongezi.Kwa ufupi naweza kusema una chuku binafsi kwa hao wawili au kwa wachagga,maana wengi wenu wakisikia wachagga tu pressure zinawapanda.Wachagga wengi ni sawa na wahaya kwani wengi wao walitajirika kutokana na kulima kahawa.Pole sana lakini.
Ze marcopolo andishi hili limenifanya nijue kwamba kiwango chako cha elimu ni kidogo mno ! Na kama una karatasi lolote linaloonyesha kwamba unaelimu kubwa , basi kuna mawili , utakuwa uliiba mtihani au unatumia cheti cha marehemu!
Mambo ya UFOO....
Mbowe alifanya kazi BOT mwaka gani na Mtei aliacha kufanya kazi BOT mwaka gani?? Miaka ikiwekwa wazi ndo tutakua na hoja ya kujadili hapa.
Mwenyekti wa kwanza wa Chadema, Mzee Edwin Mtei, alikuwa Gavana wa BoT.
Mwenyeti wa sasa wa Chadema, Mh. Freeman Mbowe, alikuwa mwajiriwa wa BoT.
Kabla ya kupata uenyeti wa Chadema, Mh. Freeman Mbowe, alimuoa mtoto wa Mwenyekiti wa kwanza wa Chadema, Mzee Edwin Mtei.
Mwenyekiti wa sasa wa Chadema, amekiri kwa maandishi kuwa anamiliki mabilioni ya shilingi pesa tasilimu na mali zisizohamishika yenye thamani ya mabilioni ya shilingi.
Hesabu za kiasi cha kodi alicholipa Mh. Freeman Mbowe kwa miaka kumi iliyopita hakiendani na utajiri huo mkubwa alio nao.
Mwenyekiti wa kwanza wa Chadema Mzee Edwin Mtei, hupenda kujitambulisha kama mkulima. Hata hivyo, utajiri wake ni mkubwa sana kuliko kiasi cha uzalishaji wa shamba lake lililopo Tengeru, Arusha.
Mzee Mtei amekuwa akitumia pesa zake binafsi kuendesha shughuli zote za Chadema tangu ilipoanzishwa mpaka ilipofikia hatua ya kupata wabunge na ruzuku. Huu ni utajiri wa hali ya juu. Sio mbaya kuwa tajiri, lakini utajiri wa mtu ni lazima uendane na kiasi cha kodi anacholipa. Mtu akiwa tajiri sana lakini katika orodha ya walipa kodi haonekani, ni ishara ya ufisadi.
Ukwasi huu wa wanasiasa hawa wawili walioitumikia BoT na kuamua kuunganisha familia zao kwa njia ya ndoa ya binti wa mmoja wao unatokana na chanzo gani?
Je, kuunganisha familia hizi ni njia ya kuongeza uaminifu wa "ushirikiano" waliokuwa nao tangu BoT? Je, "ushirikiano" wao waliouanza BoT unaendelea ndani ya Chadema? Je, hii ndio sababu ya Mzee Mtei kulazimisha Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti na kukataza wagombea "who are from nowhere"?.
Je, biashara ya ukumbi wa muziki inamuwezesha mtu kumiliki mabilioni nje ya nchi? Kiingilio bilicanas ni shilingi ngapi kila mtu? Kwa siku wanaingia watu wangapi? Je, zinatosha kununua nyumba Uingereza, Marekani, Afrika Kusini na Dubai?
Its too early to go to bed, wake up. Connect the dots...
Pumba tupu na imeandikwa kiutashi wa kisiasa zaidi kuliko fact