Ni kweli Zitto ni mwanasiasa jasiri, huo ukweli lazima tuuseme popote, na ndiyo maana ccm wanampenda sana awe mwenyekiti wao.
Zitto kwa CHADEMA ame expire hatakiwi tena. Ametusaliti wanamabadiliko, wacha aende ccm awe mwenyekiti wa taifa
Mwandishi Charles Charles , katibu msaidizi wa CCM manispaa ya Shinyanga.....hata ukatibu kamili hajawahi kupata kisa hana uwezo.....fikiria mpaka CHAMA CHA MIZIGO (CCM) kina kuona wewe ni mzigo zaidi , sijui itakuwaje.....
Hivi ameshaacha cheo chake cha ukatibu wa siasa pale ofisi ndogo Lumumba?Maana kwenye Simu yangu kuna matusi aliniporomoshea mwaka jana baada ya kujibu makala yake aliyokua alipotosha kuhusu wanaharakati .Baadala ya kutoa hoja ali-resort kwenye matusi.
Nilimuambia Sheria mbovu ya magazeti ndio iliyowezesha makanjanja kama hawa nao kuinua kalamu na kuandika...
na milady ayo,
hahaaahaaa dogo ana kwikwi balaaa