Mtei amuangukia Zitto Kabwe, adai ni mwanasiasa jasiri

Safi sana mzee mtei busara zimeanza kukurudia. Sasa pia umwambie na mkweo( mbowe ) atumia busara za kujiuzuru kwani tumemchoka anakidhoofisha chama. Akiendelea kukang'ania tutamtoa kwa nguvu.
Ukiona Mzee anaanza kupoteza kumbukumbu ujuwe anakaribia kufa! Huyu Mzee ameanza kuweweseka maana ati tume Ina Waislamu wengi kuliko wakristo sasa alitaka ZNZ watoke wakristo?

Mzee anazeeka vibaya tena zile hela zetu za BOT tutazirudisha siku ya KIAMA
 
Zito yuko juu nyie.

..Tatizo mnaruhusu akili ndogo (mbowe) iongoze akili kubwa (Zito).

.. Viva Zito Viva Zito Viva Zito..

Eti TAZAMA! hivi nalo gazeti? kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi...
 
tazama tanzania??...wakahojiana na mzee mtei??....kweli kabisa?.....gotta be kidding me....!

haipo kabisa hii duniani
 
Mungi toa hoja acha kupiga yowe kama mtu aliye na mchanganyiko wa mbege na gongo huku akikolezea viroba.

Ukubali,ukatae ukweli uko palepale. ZZK ni nguzo isiyoyumbishwa na upepo. Tanzania na watanzania wote tunatambua hilo.

Mzee Mtei naye anatambua wazi kwamba ZZK anahitajika sana na ndio jembe la misimu yote.

Utaendelea kuwa na wivu mpaka lini? Chuki binafsi itakuuwa mwaka huu. ZZK hang'oki na wala hakuna wa kumng'oa.
Jipige kamba au saga chupa unywe. Zitto bado yupo ndani ya cdm na anaendelea kuchapa kazi.
Nalog off

Zitto alikuwa nguzo muhimu inayoaminiwa na ccm kuivuruga CHADEMA, lakini baada ya ishu kubumburuka sasa anatapa tapatapa. Ila angefaa sana kwenda CCM awe mwenyekiti wa taifa.

Zitto lazima ang'olewe
 
Hapo ndo unaharibu mkuu, mzee MTEI ana hela, na sio mzee mwenye heshima ya kimataifa, kisiasa ana heshima kwako na watu wa arusha peke yake, ila sio kwa woote.. Usipende saaana kusemea na wenzio. Sema kwa upande wako. Pili, chadema ni chama cha wananchi kimaandishi na kwa mtazamo wa nje, ila kiukweli MTEI ana say kuuuubwa sana chadema. Hata leo hii akisema Zitto arudi chadema, anarudi na atapewa heshima sana kama jembe kwa kuwa mwenye say ndani ya chama kamtaka arudi. Hilo utake ma usitake... Samahani kama itakuwa nimesema ukweli usioutaka wewe ila hiyo kwa mtazamo wangu mimi.
 
hii haitoshi watampigia magoti tu siku bado zipo tusubiri tuone.
 
Zitto alikuwa nguzo muhimu inayoaminiwa na ccm kuivuruga CHADEMA, lakini baada ya ishu kubumburuka sasa anatapa tapatapa. Ila angefaa sana kwenda CCM awe mwenyekiti wa taifa.

Zitto lazima ang'olewe

sasa kama unajidanganya kwa kwa mawazo hayo subiri mtamjua zito kuwa ni nani kwenye hii dunia na siasa za tanzania mtakimbiana tu.
 
Zitto anafikia mwisho kwenye vyombo vya habari kwa kuwa yeye mwenyewe hawezi hata kufumbua macho kutazama chadema na hawezi kufungua kinywa kusema uvundo alioshiriki nateam yake ilivyowekwa wazi kwa umma wa watanzania mungu uendelee bwana kuwaweka peupe hadharani watikiswe kwa aibu zao wenyewe na wakitetewa na mamluki wazidi kuchafuka na kujificha. Amina
 
Mzee Mtei ninaye mjua hawezi kumwomba msaliti kama zitto! Yule ni Mzee mwenye heshima ya kimataifa Siyo mwenye muda mchafu.

Pili Chama siyo cha Mtei! Chama ni cha wananchi Mtei ni Muasisi tu! cc hapa ZiTTO labda umpe kazi katika gazeti lako la udaku hili cc wananchi na wanachama makini hatumtaki kabisa
..Mzee MTEI ana uwezo kifedha, ila kisiasa hana heshma kama unayoizumgumza kimataifa, ila ndani ya chadema ana heshma hiyo. Pila Mzee MTEI ndo anakiendesha chedema kwa matakwa yake, ila kimtazamo wa wapenzi damu wa chadema wasioangalia ukweli kuangalia watu fulani basi wanaweza sema chadema ni chama cha wananchi. Ila kiukweli na kiundani, Myei anaendesha chadema. Hata leo akasema Zitto hana kosa chadema, atarudishiwa nydhifa zake zote na nyie woote mtamuita ZZK jembe na anafaa chadema. Huu ni mtazamo wangu kaka....
 
mg2712.jpg


Katika hatua isiyoyakwaida baada ya kuona Zitto hatetereki na fitina za Kila aina anazofanyiwa ndani ya Chadema ili kumkatisha tamaa kijana huyo mwenye upeo wa hali ya juu wa kusoma Nyakati,Mzee Edwin Mtei ambaye ni Mwasisi na mwenye sauti kuu ndani ya chama hicho ameamua kumuangukia Zitto kabwe na kukiri Zitto ni Mwamba,Zitto ni Mwanasiasa jasiri na Mbunifu wa siasa zake,Zitto ni kijana mwenye uwezo mkubwa wa kuhimiri CATRINA yoyote ile katika siasa zake.
Mzee Mtei amefikia hatua hiyo baada ya siku za karibuni kusikika akisema bado Chadema inamhitaji Zitto kabwe,Bado Zitto ananafasi ndani ya Chadema kwa sababu anamchango Mkubwa ndani ya chama hicho.
Chanzo:Gazeti la Tazama,17/12/2013

Msipoandika UONGO kwenye magazeti yenu mtauzaje? andikeni sana maana WATANZANIA wengi huwa wanapenda kuamini ungo ndo wananunua sana magazeti.
 
mg2712.jpg


Katika hatua isiyoyakwaida baada ya kuona Zitto hatetereki na fitina za Kila aina anazofanyiwa ndani ya Chadema ili kumkatisha tamaa kijana huyo mwenye upeo wa hali ya juu wa kusoma Nyakati,Mzee Edwin Mtei ambaye ni Mwasisi na mwenye sauti kuu ndani ya chama hicho ameamua kumuangukia Zitto kabwe na kukiri Zitto ni Mwamba,Zitto ni Mwanasiasa jasiri na Mbunifu wa siasa zake,Zitto ni kijana mwenye uwezo mkubwa wa kuhimiri CATRINA yoyote ile katika siasa zake.
Mzee Mtei amefikia hatua hiyo baada ya siku za karibuni kusikika akisema bado Chadema inamhitaji Zitto kabwe,Bado Zitto ananafasi ndani ya Chadema kwa sababu anamchango Mkubwa ndani ya chama hicho.
Chanzo:Gazeti la Tazama,17/12/2013

Ataondoka tu hata kama Mtei anamtaka. Mfitini ni muuaji
 
Mwacheni aende CCM akaandae waraka wa siri wa kumwangusha mwenyekiti wa huko muone kama atabaki na kucha zake zote. Hebu acheni utani wenu zito kakosea sana nyie, ni bora kama angeamua kujitenga na ule waraka wa siri asime sihusiki nao na siutambui.
 
Back
Top Bottom