Mtei amuangukia Zitto Kabwe, adai ni mwanasiasa jasiri

Taswira

JF-Expert Member
Sep 23, 2012
1,198
447
mg2712.jpg

Katika hatua isiyoyakwaida baada ya kuona Zitto hatetereki na fitina za Kila aina anazofanyiwa ndani ya Chadema ili kumkatisha tamaa kijana huyo mwenye upeo wa hali ya juu wa kusoma Nyakati,Mzee Edwin Mtei ambaye ni Mwasisi na mwenye sauti kuu ndani ya chama hicho ameamua kumuangukia Zitto kabwe na kukiri Zitto ni Mwamba,Zitto ni Mwanasiasa jasiri na Mbunifu wa siasa zake,Zitto ni kijana mwenye uwezo mkubwa wa kuhimiri CATRINA yoyote ile katika siasa zake.
Mzee Mtei amefikia hatua hiyo baada ya siku za karibuni kusikika akisema bado Chadema inamhitaji Zitto kabwe,Bado Zitto ananafasi ndani ya Chadema kwa sababu anamchango Mkubwa ndani ya chama hicho.
Chanzo:Gazeti la Tazama,17/12/2013
 
Zitto ni mwanasiasa mahiri sana na mwenye msaada mkubwa kwa taifa letu. Ni jahiri tu atakaetaka mwanasiasa huyu apotee katika anga za siasa.
 
Ni kweli Zitto ni mwanasiasa jasiri, huo ukweli lazima tuuseme popote, na ndiyo maana ccm wanampenda sana awe mwenyekiti wao.
Zitto kwa CHADEMA ame expire hatakiwi tena. Ametusaliti wanamabadiliko, wacha aende ccm awe mwenyekiti wa taifa
 
Jibuni hoja acheni uhuni...
 
Mzee Mtei ninaye mjua hawezi kumwomba msaliti kama zitto! Yule ni Mzee mwenye heshima ya kimataifa Siyo mwenye muda mchafu.

Pili Chama siyo cha Mtei! Chama ni cha wananchi Mtei ni Muasisi tu! cc hapa ZiTTO labda umpe kazi katika gazeti lako la udaku hili cc wananchi na wanachama makini hatumtaki kabisa
 
Mi nilifikiri mtapinga kuwa mtei hajasema hivyo kumbe mnamshambulia mwandishi kweli akili ndogo za kina Mungi ni nyingi hapa ndani
 
Last edited by a moderator:
Mwandishi Charles Charles , katibu msaidizi wa CCM manispaa ya Shinyanga.....hata ukatibu kamili hajawahi kupata kisa hana uwezo.....fikiria mpaka CHAMA CHA MIZIGO (CCM) kina kuona wewe ni mzigo zaidi , sijui itakuwaje.....

Hivi ameshaacha cheo chake cha ukatibu wa siasa pale ofisi ndogo Lumumba?Maana kwenye Simu yangu kuna matusi aliniporomoshea mwaka jana baada ya kujibu makala yake aliyokua alipotosha kuhusu wanaharakati .Baadala ya kutoa hoja ali-resort kwenye matusi.

Nilimuambia Sheria mbovu ya magazeti ndio iliyowezesha makanjanja kama hawa nao kuinua kalamu na kuandika...
 
Bado sijaona mwanasiasa ambaye analenga maendeleo ama weledi chanya,ni uzushi,matusi,ugomvi.kweli kuota ndevu si kukua.

Hivi ameshaacha cheo chake cha ukatibu wa siasa pale ofisi ndogo Lumumba?Maana kwenye Simu yangu kuna matusi aliniporomoshea mwaka jana baada ya kujibu makala yake aliyokua alipotosha kuhusu wanaharakati .Baadala ya kutoa hoja ali-resort kwenye matusi.

Nilimuambia Sheria mbovu ya magazeti ndio iliyowezesha makanjanja kama hawa nao kuinua kalamu na kuandika...
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom