fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,073
Hii siyo reliable source......but/lakini kwa Zitto Kabwe everything is possible, binafsi nimeshachoshwa na Headlines za Zitto Kabwe na ndio maana sina hata hapetite ya kuchangia thread hii.Source Jambo Leo ~ Habari Leo. Labda ungesema ama tweet tungekuelewa.
Hata Mtei alichoongea ni ukweli mtupu. Just a simple research inaonesha kuwa katika yale majina ya wajumbe wa tume ya katiba waislam ni wengi kuliko wakristo. Zitto kusema mzee Mtei azomewe ni ukosefu wa adabu, ingawa na mzee Mtei kwa hadhi yake hakustahili kuongea kauli kama hizo.
Zitto omba radhi
Hapa tunaongelea maoni ya Mzee Mtei, right?Haya ndio mambo hatukuyataka toka awali! rasimu ya muswaada wa mabadiliko ya katiba haikuletwa kwa wananchi waijadili, ndio maana unakimbilia kuuliza kama rais alizingatia taratibu au la. hauhoji uzuri wa taratibu hizo, ama zilivyowekwa. Utaratibu huu tayari unaonyesha ghilba imetumika. Hivi nani anawawakilisha wapagani kwenye hiyo tume, TUTARAJIE KUPATA KATIBA ITAKAYOKATALIWA NA WANANCHI!!!!!
sio fare kumshambulia mzee huyu. tujiulize, alilosema ni kweli au laa? kama ni kweli, shida iko wapi? kwenye inchi inayoingiwa na tensions za kidini kama hii ni muhimu sana kuliangalia kwa makini wazo la mzee huyu. kwa vyovyote ameona mbali! hata hivyo ni muhimu kuwa makini na zito kabwe.
Mbunge wa Kigoma Kaskazini-CDM amesema Mzee Edwin Mtei amefilisika kimawazo kwa kauli yake kwamba tume ya Katiba ina Waislam wengi kuliko wakristo.
Source:JAMBO LEO.
Hapo ndiyo inabidi tukubali kuwa hii hoja ya kusema;"Tz watu hawaheshimu mawazo ya watu wengine".Iweje mtu atoe mawazo yake binafsi halafu wengine waanze kumshambilia tu bila kujali kama mtoa hoja amekiuka sheria yoyote.Haijalishi ni mawazo yasiyo na mashiko kiasi gani ilimradi mtu hajavunja sheria ni lazima tuyaheshimu.Kutokukubaliana na hoja ya mwenzie haitoi fursa ya kuanza kushambuliana.
Nadhani ilikuwa inatosha kusema yeye(zitto) hakubaliani na hoja ya mzee mtei na kutoa sababu zake,lakini kufikia hatua ya kusema kwamba eti mzee mtei amefilisika kimawazo naona kama hajamtendea haki.
Mbunge wa Kigoma Kaskazini-CDM amesema Mzee Edwin Mtei amefilisika kimawazo kwa kauli yake kwamba tume ya Katiba ina Waislam wengi kuliko wakristo.
Source:JAMBO LEO.
tangu juzi naona hawa ndio wanashughulika na hii habari.Source Jambo Leo ~ Habari Leo. Labda ungesema ama tweet tungekuelewa.