Mtego wa Rais kwa CAG

Mtego wa Rais kwa CAG

CAG mara kadhaa amelalamika kuwa hakupewa pesa ya kutosha (bajeti) kwa kazi yake. Sasa hizi kazi za nyongeza wanategemea CAG azifanye kwa fungu lipi?
 
Wanaolalamikia JPM ni wale wahuni. Tena sitaki hata kuwasikia. Walizoea kufanya Tanzania shamba la bibi. No more!
kuna mhuni zaidi ya bashite nchi hii,kwanza alimpiga mzee warioba,alipopewa ukuu wa mkoa akatukana watumishi wenye vyeti halali na sio feki kama vyake na juzi amevamia kituo binafsi cha redio na tv akiwa na wanajeshi wenye silaha nzito!!!!
 
Rais ameonyesha udhaifu mkubwa sana , hii INA maana kwamba hamwamini CAG
Ningekuwa Mimi ndiye cag ambaye hata akina frankwood wana imani na mimi

ningerudi ofisini na kuandika barua ya kujiuzulu tu maana ananituma kama bashite we nenda tu kavamie nitakupa ulinzi.bashite anakwenda anaamini yupo na walinzi kumbe wapiga Pasi ikulu sasa cag si ndie yupo kikatiba au katiba ya kinapolepole inachomekwa slowslow
 
Leo katika kufatilia taarifa ya habari katika kituo kimoja cha television hapa nyumbani, imeonesha Mkaguzi Mkuu wa hesabu wa Serikali amekabidhi ripoti yake kwa Mh. Rais ikulu.

Katika makabidhiano hayo, Rais ameenda mbali zaidi na kumpa kazi nyingingine, "akimtaka" Mkaguzi huyo akakague migodi ya madini na aje na ripoti ya kuonesha taifa/serikali ina nufaika vipi na mchanga unaosafirishwa kwenda nje.

Mbali na kumuagiza huko, Rais kasema kwamba, ataunda tume nyingine ichunguze suala hili hilo, na ataunda "timu" nyingine hisiyojulikana (invisible team) kuchunguza jambo hilo hilo pia.

Sasa hapa najiuliza, kuna ulazima gani tena Rais aunde tume na invisible team, wakati ameishamwagiza CAG kufanya jambo hilo?

What if, kama hiyo tume na team zikaja na majibu tofauti na ya CAG?

Je Kazi anayofanya CAG haiaminiki kwa serikali au Rais ndio hana imani na CAG?
Ili kutoa uamuzi mzuri independent teams could work on the same subject and compare the results....kitu kibaya ni kumuonea mwekezaji kama hana hatia.. .. kutafuta ukweli ni wajibu wa serikali thabiti
 
Huenda report aliyokabidhi ina madudu ya awamu hii ya tano kwahiyo anamtafutia namna ya kumuondoa, kuna uzi uliletwa na Pascal Mayalla kuhusu report ya CAG na madudu yanayohisiana na matumizi ya pesa yasiyo idhinishwa na bunge katika baadhi ya miradi iliyoanzishwa au baadhi ya sector kupewa pesa nyingi kuliko budget yenyewe
 
Uzuri bwana mkubwa ashawajua watu wake mnaongea sana. ...yeye anafanya kazi mtampima kwa matokeo.
 
Leo katika kufatilia taarifa ya habari katika kituo kimoja cha television hapa nyumbani, imeonesha Mkaguzi Mkuu wa hesabu wa Serikali amekabidhi ripoti yake kwa Mh. Rais ikulu.

Katika makabidhiano hayo, Rais ameenda mbali zaidi na kumpa kazi nyingingine, "akimtaka" Mkaguzi huyo akakague migodi ya madini na aje na ripoti ya kuonesha taifa/serikali ina nufaika vipi na mchanga unaosafirishwa kwenda nje.

Mbali na kumuagiza huko, Rais kasema kwamba, ataunda tume nyingine ichunguze suala hili hilo, na ataunda "timu" nyingine hisiyojulikana (invisible team) kuchunguza jambo hilo hilo pia.

Sasa hapa najiuliza, kuna ulazima gani tena Rais aunde tume na invisible team, wakati ameishamwagiza CAG kufanya jambo hilo?

What if, kama hiyo tume na team zikaja na majibu tofauti na ya CAG?

Je Kazi anayofanya CAG haiaminiki kwa serikali au Rais ndio hana imani na CAG?
Kwani wewe humjibRais wako?
Hapangiwi kazi!
 
Nakumbuka huyu cag ndio aliyetoa ripoti ya mwisho ya jk ambayo ilionyesha wizara aliyokuwa anaongoza magu ilikuwa jipu kwenye pesa!
 
Ata akizingua awez mtumbua kirahisi mpaka Mda wake uishe..CAG is appointed by president ila kuondolewa Adi Mda wake uishe..otherwise majaji Wa 3 Wa common wealth wakae na kujiridhisha..from katiba..correct me if am wrong
Upo sahihi!
 
CAG naye ni binadamu, na hii issue ni nyeti. Huko nyuma tuliona Ma CAG wakishambuliwa bungeni kwa kupindisha ukweli.

Kwa kuunda timu kadhaa, Rais anataka tu kujiridhisha na ukweli ..! Nafikiri ni strategy nzuri kwa kiongozi yeyote.
Naweza nikasema tokea rais aingie madarakani mpaka leo ametuma migodini task force cyo chini ya tano
 
You are Absolutely Right however are we following that katiba anymore....

Ata akizingua awez mtumbua kirahisi mpaka Mda wake uishe..CAG is appointed by president ila kuondolewa Adi Mda wake uishe..otherwise majaji Wa 3 Wa common wealth wakae na kujiridhisha..from katiba..correct me if am wrong
 
CAG naye ni binadamu, na hii issue ni nyeti. Huko nyuma tuliona Ma CAG wakishambuliwa bungeni kwa kupindisha ukweli.

Kwa kuunda timu kadhaa, Rais anataka tu kujiridhisha na ukweli ..! Nafikiri ni strategy nzuri kwa kiongozi yeyote.
Hakuwa na haja ya kusema public
 
Leo katika kufatilia taarifa ya habari katika kituo kimoja cha television hapa nyumbani, imeonesha Mkaguzi Mkuu wa hesabu wa Serikali amekabidhi ripoti yake kwa Mh. Rais ikulu.

Katika makabidhiano hayo, Rais ameenda mbali zaidi na kumpa kazi nyingingine, "akimtaka" Mkaguzi huyo akakague migodi ya madini na aje na ripoti ya kuonesha taifa/serikali ina nufaika vipi na mchanga unaosafirishwa kwenda nje.

Mbali na kumuagiza huko, Rais kasema kwamba, ataunda tume nyingine ichunguze suala hili hilo, na ataunda "timu" nyingine hisiyojulikana (invisible team) kuchunguza jambo hilo hilo pia.

Sasa hapa najiuliza, kuna ulazima gani tena Rais aunde tume na invisible team, wakati ameishamwagiza CAG kufanya jambo hilo?

What if, kama hiyo tume na team zikaja na majibu tofauti na ya CAG?

Je Kazi anayofanya CAG haiaminiki kwa serikali au Rais ndio hana imani na CAG?

Tume au team yoyote ya uchunguzi itafanya kazi yake kulingana na:

1. Terms of references - hadidu rejea
2. Competence of the team members on the subject
3. Integrity of the team members
 
Taasisi ya Urais ina macho, yaweza kutazama na kuchunguza jambo mara nyingi itakavyo bila masharti ili kujiridhisha. Kukujulisha kuwa macho yapo 'active' katika uchunguzi wake ni sehemu pia ya kutoa maangalizo na kuweka nidhamu katika vyombo / taasisi nyingine zinazofanya kazi katika Nchi. 'He is really watching.'
 
Taasisi ina macho ila rais kajipofusha.

Angetumia macho angeweza kuina Bashite galasha.
 
Back
Top Bottom