Mtego wa Rais kwa CAG

Mtego wa Rais kwa CAG

Ahsante sana kwa kunifungua macho kuhusu hilo la invisible team. Kwanini kuwepo na invisible team kwa kazi ambayo imeshakamilishwa na CAG!?

Huku si kuongeza gharama za uendeshaji za Serikali ambazo tuliambiwa zinapunguzwa!?

Hii invisible team inaleta wasiwasi mkubwa sana na nadhani dhumuni lake kubwa ni kumpinga CAG huku wakiendelea kufichwa nyuma ya pazia. HATARI!
Mzee wa watu anatafutiwa target bro, let's wait n see. Binafsi nami hapo ndipo palipo nivunja nguvu katika hiyo kazi anayoenda kuifanya kama itamuacha Salama, chini ya hicho kivuli cha "invisible team"
 
Haya mambo ya invisible team yamenistua sana Mkuu. Sioni logic ya kuwa na "invisible team." Je, tayari ndani ya nchi tuna invisible team katika idara nyingine na wananchi tukiwa hatujui lolote kuhusu hili!?

Zimeundwaa Tume tatu kuchunguza ishu ya Madini...!! Sasa hapoo lazima akaangwe mtuu....
 
Haya mambo ya invisible team yamenistua sana Mkuu. Sioni logic ya kuwa na "invisible team." Je, tayari ndani ya nchi tuna invisible team katika idara nyingine na wananchi tukiwa hatujui lolote kuhusu hili!?
Oooh oh, mkuu damka haraka sana. Juzi wakati yupo bandarini anatoa pongezi kwa wafanyakazi wa bandari hukumsikia vizuri, mpaka akataja kabisa kuwa anaipongeza invisible na visible team zilizofanikisha tukio lile.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Na kama hiyo invisible team ndio sampuli za wakiomsindikiza RC kufanya uvamizi, tuandae mapema kabisa vitambaa vya kufutia machozi wakati CAG akiwa anaondoka.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Magufuli anazidi kudhiirisha kwamba siyo mjanja na siyo smart kichwani...naweza kuelewa lengo lake la invisible team'
....ila hakupaswa kuiweka public, yaani hakupaswa hata kusema kwamba ataunda invisible team...angepiga kimya na kuiunda hiyo timu...
....lakini pengine kasema tu ili kumfanya CAG afanye kazi kwa kufahamu anapaswa kusema ukweli wote...ama ili kumwonyesha CAG ni muongo hata kama alichokiona na kukiripoti ni ukweli...
 
Hmmmm! This is scary!

Wabongo bhanaa..........mwanaume kasema tulieniii....
Hata hao wanaume siku hizi wana aina, kuna wa suruali, kaptula n.k kwa hiyo inategemea na aliyesema ni wa aina gani mpaka raia watulie.
 
Mzee wa visasi, tatizo ni kwamba mkwere alimtumia CAG kumshambulia Kwa hoja za uuzwaji wa nyumba za serikali na malipo hewa ya 52bn.

Kwa hiyo jamaa anataka kulipa kisasi, sasa atanzaje hapo ndio kazi maana yeye hana mamlaka ya kumtoa vinginevyo CAG angekuwa ndio mtu wa kwanza kutumbuliwa.
 
Umenifungua macho Mkuu haya ya invisible team nilikuwa sijayasikia wala kuyasoma popote pale. Ahsante sana Mkuu.

Na kama hiyo invisible team ndio sampuli za wakiomsindikiza RC kufanya uvamizi, tuandae mapema kabisa vitambaa vya kufutia machozi wakati CAG akiwa anaondoka.
 
Magufuli anazidi kudhiirisha kwamba siyo mjanja na siyo smart kichwani...naweza kuelewa lengo lake la invisible team'
....ila hakupaswa kuiweka public, yaani hakupaswa hata kusema kwamba ataunda invisible team...angepiga kimya na kuiunda hiyo timu...
....lakini pengine kasema tu ili kumfanya CAG afanye kazi kwa kufahamu anapaswa kusema ukweli wote...ama ili kumwonyesha CAG ni muongo hata kama alichokiona na kukiripoti ni ukweli...
Excellent kabisa mkuu. Hapa Sihitaji kupunguza au kuongeza neno.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hiyo ni kuwatega tu, kuwaambia wasinunuliwe na migodi! wakinunuliwa itakula kwao
 
Uzuri ni kuwa Rais hawezi kumfukuza kazi CAG kiholela tu hapo ndipo wazungu walipotuweza.
 
Mzee wa visasi, tatizo ni kwamba mkwere alimtumia CAG kumshambulia Kwa hoja za uuzwaji wa nyumba za serikali na malipo hewa ya 52bn.

Kwa hiyo jamaa anataka kulipa kisasi, sasa atanzaje hapo ndio kazi maana yeye hana mamlaka ya kumtoa vinginevyo CAG angekuwa ndio mtu wa kwanza kutumbuliwa.
Wakuu hili kweli lipo wazi, ila inawezekana pia ikatumika kama mbinu ya kufanya public hisiwe na imani na kazi yake, kama akiamua kufanya fitina kitokana na kisasi chochote. Na hii tayari itakuwa kama kumvua nguo Mkaguzi na kumdhohofisha, japo hatoweza kuondolewa. Kuna baadhi ya Mifano ilipata kutokea kwa Bw. Luto, wakati wa Jk, yani hadi anastaafu ni kama alikuwa kapoa flani hivi kwa tuliokuwa tumemzoea.

Back
Top Bottom