Mtego wa maandamano ya amani leo D9

Mtego wa maandamano ya amani leo D9

Nimeiona cruiser hapa kimara imebeba watu wawili na wamevaa jersey za YANGA na wanamitutu.sijawaelewa kabisa.Au timu ya YANGA siku hizi wanamikiki jeshi?
Wapo wengi sana hata huku Mwanza waliovaa kiraia na wamebeba bunduki nadhani ili wawafikie waandamanaji kirahisi bila wenyewe kujua na kuwakamata au kuwaua kabisa
 
Nimeiona cruiser hapa kimara imebeba watu wawili na wamevaa jersey za YANGA na wanamitutu.sijawaelewa kabisa.Au timu ya YANGA siku hizi wanamikiki jeshi?
Kusema kweli nilikuwa shabiki wa yanga, toka nione yule jambazi anashoot watu akiwa amevalia jezi ya yanga,nimeamua kuhama timu hiyo.
 
Manyumbu yanafarijiana.Toka uvunguni ingia barabarani uipate.Hatucheki na nyumbu.
 
Back
Top Bottom