kinyama nje
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 1,838
- 2,487
kwa ulofa wako umekosa kitu kizuri wala jela usingeiona
kuku wa kienyeji ndio watamu ale tuuKuna jamaa yangu mmja ana house girl wake ana chura balaaa alafu kiuno kama dondora Sema dem mwenyewe kuku wa kienyeji
Jamaa naona anajitahidi kukazaaa naona uzalendo ushaanza mwishia
Ova
Huko safarini ulikijua alichokuwa anakifanya mkeo?
Hayo mambo ya kusemeleana ni Yakitoto Sana
mimi hapo nahisi wife wako ndiye kakuwekea mtego huo kumleta hausigeli ili akupe fumanizi
Wewe hii story umeiedit usibishe kuna kitu umeficha
we ulitaka avae magunia au akae jikoni muda wote ili hali ashamaliza kupikaaa.......nature at work...lazima aoneshe uwepo wake..ungekula alafu unampa nauli aende omeee
Yaaani unaacha kutafuna kitu laini?haina alama hiyo huo ubwegeHabari wakuu, hatimae nimenusurika aibu,
Ni masiku machache tu yamepita, tulipata house girl kwa ajili ya kutusaidia kazi za nyumbani, ukizingatia sisi wote ni watu wa kusafiri safiri, na nyumbani kulikuwa na mtoto shemeji yangu,sasa tukampata mdada wa kuwepo nae nyumbani ikiwa tutasafiri wote.
Kibaya zaidi tulipompata huyu msichana tulikaa nae nyumbani kwa siku 2 tu then mke wangu akasafiri, hivyo aka way bado hajamsoma hata tabia yake.
Sasa baada ya wife kusafiri nikaaza kumuona yule house girl anaanza mabadiliko, wakati mwingine ananifuata sebleni anakuja na kanga 1 tu halafu anakaa karibu na mimi, yaani mitego ikawa mingi, mpaka wakati mwingine anapandisha kanga juu ya mapaja kabisa karibu na njia panda, nikashindwa kuvumilia nikampigia simu mke wangu, nikamwambia msichana wake nampa hela anazodai za siku alizokaa namfukuza, ila sikumwambia sababu, yule msichana nikamtoa kweli.
Sasa wife karudi safarini, yule mtoto mdogo ambae ni shemeji yangu ndio kamweleza wife kwamba yule dada alikuwa anampango wa kunidhalilisha mimi, yaani anishawishi nimle halafu apige kelele mtaani kwamba nimembaka.
“Kweli waliopo jela sio wote wanahatia “