Mtego mpya wa kunasia Mbususu

miles45

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
3,468
8,287
Kama ilivyo kwetu wanaume Mara zote tunatumia mbinu nyingi nyingi ili tu tuweze kula mbususu za wadada wa watu.

Katika njia hizo zipo njia salama na zipo za hatari ...Basi Leo katika utafiti wengu nimekuja na hii njia kwangu imefanya kazi kwa asilimia 80 na naamini hata kwako itafanya kazi tu kwa sababu wote tunatumia wanawake Hawa Hawa.

Basi kisaikolojia wanawake saizi walio wengi wamechoka kudanga wanataka wafanye maisha halisi na ya halali.

Baada ya kudanga huku na huko ...huku wakicheza rafu bila kujali afya zao na wamekua waoga wa kwenda kucheki afya zao kwa sababu wameishi maisha ya hatari ya kukata tamaa na maisha hivyo hawana uhakika na afya zao na hichi kinawaumiza Sana kisaikolojia japo wanajifanya wanacheka na wanafuraha lkn wakifikiria mustakabali mzima wa afya zao huwa lazima wawe wapole na kuumia kimoyomoyo.

Basi kupitia Hilo tatizo walilo nalo Mimi Kama baharia nisie tambulika na chama nikapata fursa kupitia Hilo. Fursa yenyewe ndio hii.

Tafuta mwanamke yoyote une mkubali au omba hata namba njiani kwa mwanamke unae ona anakufaa kwa matumizi alafu muombe mkapime VVU(akusindikize), ukiulizwa kwa nini yeye mjibu majibu ya kiume Kama vile nimependelea tu Mimi na wewe tujue afya zetu kwa ajiri ya maisha yetu ya badae.

Kwanza kwa kutumia njia hii atakuona wewe ni mkosaji mwenzie na ni mpambanaji mwenzie na utakua umechukua umakini(tention) wake kwa asilimia kubwa na kujenga uaminifu mkubwa na wewe ....na kuona unamjali ...na Kama kawaida mwanamke akishajua unamjali kifuatacho Nini Tena hapo....

Akisha weka hii Imani usizingue hakikisha hii ahadi inatekelezeka ila Kama ulikua unatest zari kumbe na wewe ni tiamaji tiamaji imekula kwako. Kama unajiamini upo fiti nenda nae kapime ...na mkitoka wote mpo fresh mzee mbususu unakula siku hiyo hiyo na atatokea kukuona Kama wewe ni mkombozi wake

Kazi kwenu na nawatakia uchakataji mwema .
 
Aseee!hivi mimi ni wa kike kweli?sidhani

Hiyo njia kwangu haiwezi kufanya kazi kwangu aseee
Nikikutana na mwanaume mpya kama ni suala la kupima nitamzungusha weeee ili nikapime mwenyewe kwanza ndio twende wote

Haiwezekani tukutane tu tuongozane wote tukapime HIV kizembezembe kama tunaenda kupima UTI
 
Sio wewe tu.... Hii mbinu iko very low.

Wajipange upya 😂
 
Aseee!hivi mimi ni wa kike kweli?sidhani

Hiyo njia kwangu haiwezi kufanya kazi kwangu aseee
Nikikutana na mwanaume mpya kama ni suala la kupima nitamzungusha weeee ili nikapime mwenyewe kwanza ndio twende wote

Haiwezekani tukutane tu tuongozane wote tukapime HIV kizembezembe kama tunaenda kupima UTI
Basi upo nje ya ile asilimia 80 .... Ila mlio wengi hii njia inafanya kazi na nimeijaribu na sikupata resistance kabisa zaidi ya kuulizwa lini twende
 
Aseee!hivi mimi ni wa kike kweli?sidhani

Hiyo njia kwangu haiwezi kufanya kazi kwangu aseee
Nikikutana na mwanaume mpya kama ni suala la kupima nitamzungusha weeee ili nikapime mwenyewe kwanza ndio twende wote

Haiwezekani tukutane tu tuongozane wote tukapime HIV kizembezembe kama tunaenda kupima UTI
Aaah basi tuta badilisha tukapime wote UTI.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom