Mkitoka salama umuagizie nusu ndege na bia mbili kazi iendeleeNdio hivo hapa Nina appointment za kwenda kupima Kama zote [emoji1][emoji1] Hadi nimalize kupima watakua wamenyonya damu yote mwilini
Ahahaha.."nikikutana na mwanaume mpya"Aseee!hivi mimi ni wa kike kweli?sidhani
Hiyo njia kwangu haiwezi kufanya kazi kwangu aseee
Nikikutana na mwanaume mpya kama ni suala la kupima nitamzungusha weeee ili nikapime mwenyewe kwanza ndio twende wote
Haiwezekani tukutane tu tuongozane wote tukapime HIV kizembezembe kama tunaenda kupima UTI
Nimejaribu kuchukua umri wa maleta Uzi nikazidisha kwa nne jibu nililo pata ndio ulilo toa weweAseee!hivi mimi ni wa kike kweli?sidhani
Hiyo njia kwangu haiwezi kufanya kazi kwangu aseee
Nikikutana na mwanaume mpya kama ni suala la kupima nitamzungusha weeee ili nikapime mwenyewe kwanza ndio twende wote
Haiwezekani tukutane tu tuongozane wote tukapime HIV kizembezembe kama tunaenda kupima UTI
Sasa na wewe "JF-expert member" kabisaa unahangauishana na mabaamedi kweli????Kama Savana za elfu 10 tu Zina nasa samaki ...mbinu ya kucheki afya itashindwaje....?
Hapa ndio Kama demu alikua ni bahamedi kapinda ile ile akienda kucheki afya akajikuta yupo fiti na ukamuweka ndani atatuliaaa ...mlokole akasome
Mtego una garama utafikiri unafwatilia vibali vya kumiriki bunduk
Mkuu inaonyesha jinsi vijana hawapendi kutumia zana kujirindaWapi weweee
Ukapime na Mwamba muwe fiti wote heee.
Akibinya kifua tuu na akabinya tena tako moja mbona utaomba mwenyewe Mike utume salam
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Nimejaribu kuchukua umri wa maleta Uzi nikazidisha kwa nne jibu nililo pata ndio ulilo toa wewe
Hakuna mtu anae taka mkapime kizembe na bila kujua malengo ya mhusika
Itakuwa anazungumzia wanawake ambao hawapo kwa sasa watakuja badae sanaMleta mada anaandika vitu theoritically,kiutendaji alichoandika ni kigumu kidogo
Mie mwenyewe nimeanza kujistukia labda sio wa kike 😂Ukute sisi sio wa kike 🤣
Yaani unacho zungumza hakipo ila unajaribu kutuaminisha kama wanasiasa wanavyo tuaminisha hata wasivyo weza kuvitekelezaUmefanyia kazi ukaona matokeo au unabishana tu