Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,008
- 31,816
Mi kupima ni kitu cha kawaida ila sio kwa kupima kisa nataka papuchiKapime mzee acha kujizungusha
Unapima kwaajili ya afya sio unavyo taka kutuaminisha
Mi kupima ni kitu cha kawaida ila sio kwa kupima kisa nataka papuchiKapime mzee acha kujizungusha
Ndugu yangu kwani Hadi ule mbususu unatakiwa ufanye nini kikubwa ........? Au ndio Hadi mkaue Simba porini Kama wamasai.......?[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Mbona vitu vingine vidogo tuYaani unacho zungumza hakipo ila unajaribu kutuaminisha kama wanasiasa wanavyo tuaminisha hata wasivyo weza kuvitekeleza
Labda na personalty yangu inachangia kupata mbususu kwa urahisi ......kwani hao wengine Hadi wapate hizi mbususu inatakiwa wafanye Nini.......?
Kumbe umesha jua ni vidogo sasa kwann utumie nguvu kubwa kiwango hichoNdugu yangu kwani Hadi ule mbususu unatakiwa ufanye nini kikubwa ........? Au ndio Hadi mkaue Simba porini Kama wamasai.......?[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Mbona vitu vingine vidogo tu
Itakuwa wewe ni mcheza rafu mzuri [emoji23][emoji23][emoji23]Aseee!hivi mimi ni wa kike kweli?sidhani
Hiyo njia kwangu haiwezi kufanya kazi kwangu aseee
Nikikutana na mwanaume mpya kama ni suala la kupima nitamzungusha weeee ili nikapime mwenyewe kwanza ndio twende wote
Haiwezekani tukutane tu tuongozane wote tukapime HIV kizembezembe kama tunaenda kupima UTI
Beatrice gani tena huyu??Haya huyu ni binti ambaye ni mteja wangu na ni pisi ya maana ...imepost kwenye status yake ile clip ya yule mchungaji anae sema my inagalama neno my Lina gharama ..... Nadhani Hadi hapo mtajua mmepata picha ya maongezi yalipo anzia ....na ikumbukwe Sina mazoea nae na sijawahi chati nae chochote
Wabishi kazi kwenu View attachment 2000767
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyu nimewafanyia majaribio Hawa wabishi utafikili Nini sijui wanao zani kula mbususu Hadi ukwangue lami kwa meno[emoji1][emoji1][emoji1]
Mzee nakula vitu vitamu na vizuri naweza kukuthibitishiaDanga mstaafu unatumia nguvu kuuuuubwaa!!
Mwanamke aliyedanga akachoka mostly utakuta age imeenda na mvuto unaisha...
Tafuta pesa kijana..
Nguvu za kiume zipo kwenye pesa pia..
Mbususu ya danga mstaafu huyo ni nyani mzee aliyekwepa mishale kama milioni hivi..
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] yaan imebid nichekee tu kha!Watu wa ANGAZA mnakuja na mbinu mpya ili kutunasa tukapime.
Kwahiyo mkuu watu wa afya ndo mmeoana mje na uzi huu [emoji23][emoji23].
Aah wapi!!Mzee nakula vitu vitamu na vizuri naweza kukuthibitishia
hahahahahMkuu hujamlisha hata kipaja cha kuku alafu umburute mkapime ngoma? 😃😂😂