Mtazamo

Mtazamo

sezary

Member
Joined
May 6, 2013
Posts
8
Reaction score
0
Kunamsemo eti "Sir God" watu wakimaanisha ni mungu,au "Sir Jesus"wakimaanisha yesu,ila kwamtazamo wangu mi naaona kama aija kaavizuri,coz kuna watu wana majina kama ayo ni mashoga kama Sir Elton J.kwann tusitamke jina tu pekeyake!
Au wana JF wenye imaniya kikristo iyo ni sawa kweli?maana uwonimtazamo wangu tu maanaleo nimeona gari imeandikwa ivyo!
 
Back
Top Bottom