Nyakageni
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 15,045
- 5,092
Nimekuwa kwenye fani ya ualimu kwa muda mrefu sasa, moja ya vitu nilivyogundua (baada ya research) ni kuwa walimu wazuri ni wale waliosomea diploma ya ualimu, wakaenda makazini, au makazini then chuo kikuu.
Sababu ni
1. Wanajua teaching strategies zaidi ya ambao wameunganisha chuo kikuu.
2. Wanajituma kazini zaidi
3. Wanajua matumizi ya lugha nyepesi na inayoeleweka kwa wanafunzi.
4. Wana manage discipline ya darasa vyema
5. Wanapenda kujifunza mambo mapya