Mtazamo wangu: Walimu wa diploma ni bora kuliko ambao hawajapitia diploma wakapata degree | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtazamo wangu: Walimu wa diploma ni bora kuliko ambao hawajapitia diploma wakapata degree

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Nyakageni, Feb 11, 2012.

 1. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,949
  Likes Received: 1,274
  Trophy Points: 280
  Nimekuwa kwenye fani ya ualimu kwa muda mrefu sasa, moja ya vitu nilivyogundua (baada ya research) ni kuwa walimu wazuri ni wale waliosomea diploma ya ualimu, wakaenda makazini, au makazini then chuo kikuu. Sababu ni
  1. Wanajua teaching strategies zaidi ya ambao wameunganisha chuo kikuu.
  2. Wanajituma kazini zaidi
  3. Wanajua matumizi ya lugha nyepesi na inayoeleweka kwa wanafunzi.
  4. Wana manage discipline ya darasa vyema
  5. Wanapenda kujifunza mambo mapya
   
 2. Vmark.

  Vmark. JF-Expert Member

  #2
  Feb 11, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Therefore degree ifutwe kwa walimu tubakie na diploma tu!!!
   
 3. M

  Mopalmo JF-Expert Member

  #3
  Feb 11, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hiyo haina ubishi
   
 4. M

  Mchakatoh JF-Expert Member

  #4
  Feb 11, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 257
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Isee!..ukistajabu ya musa utayaona ya filauni!!..
   
 5. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #5
  Feb 11, 2012
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Wakati nachangia nyakati zilizopita niliweka bayana hili japo kwa lugha tofauti! LECTURER ni tofauti kabisa na TEACHER!!! Maana yake ni kwamba,wakati mwalimu hujitahidi ili wanafunzi wake waelewe zaidi naye afurahi LECTURERS wanapofeli wanafunzi wengi yeye hufurahi na hata kudiriki kutishia KUKUKAMATA
   
 6. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #6
  Feb 11, 2012
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Teachers huhakikisha darasa linakuwa LIVE,hivyo kufanya uelewa wa jambo lifundishwalo kuwa mpana na endelevu! Tofauti kabisa na ufundishwaji na LECTERER ambapo hufanya ukariririwaji wa mada kwa ajili ya mtihani hivyo kutokuwa endelevu katika uelewa wa mfundishwa!!!
   
 7. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #7
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,949
  Likes Received: 1,274
  Trophy Points: 280
  sijatoa wazo kama hilo.
   
 8. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #8
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,949
  Likes Received: 1,274
  Trophy Points: 280
  nashukuru mkuu kwa mtazamo wako. Hebu toa maoni kidogo ili nioanishe na findings zangu
   
 9. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #9
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,949
  Likes Received: 1,274
  Trophy Points: 280
  kwa nini mkuu? Hebu dadavua
   
 10. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #10
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,949
  Likes Received: 1,274
  Trophy Points: 280
  tuna tatizo la msingi kwenye vyuo vikuu vyetu
   
 11. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #11
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,949
  Likes Received: 1,274
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo wakufunzi hao huwasilisha 'rote learning'
   
 12. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #12
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,949
  Likes Received: 1,274
  Trophy Points: 280
  mwl kahitimu chuo kikuu lakini hajui kuandaa somo. Hajui hata malengo mahususi mpaka anaingia darasani
   
 13. kinya

  kinya JF-Expert Member

  #13
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 483
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  ni ukweli uliyo dhahiri kuwa hawa watu wanatofauti kubwa mno awapo chuo(degree)mawazo yake meng ni jinsi ya kufaulu lakin akiwa diploma anatumia muda mwing kujifunza na kufanyia kazi TEACHING METHODOLOGIES as a result akiende sokon kaiva kweli wale wa chuo unabakia na utozi pamoja na unaharakati na si kazi kifupi hawa ni walimu maslah na not vocation..?
   
 14. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #14
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,949
  Likes Received: 1,274
  Trophy Points: 280
  mkuu nashukuru kwa maoni yako. Tufanye nini sasa?
   
 15. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #15
  Feb 11, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Diploma pia ina shida zake. Mimi ninayo na utagundua kuwa hawa curriculum devs wa nchi hii wameichezea.
  -Kwanza ni kwenye course of study, the number and weight of units of study. Kuna walimu wana diploma ambayo naiita ya 'content' na wale wengine waliopata ile ya 'methodologies'. Sina hakika na hii itolewayo wakati huu ambako wanakuwepo chuoni for less than a year.
  -Huku kuchezea muda ambao mwanafunzi anapaswa kuwa chuoni pia ni kuchezea diploma.
  -Tatizo la vyuo vikuu ni kuwa wameelemewa na wanafunzi, unmotivated lecturers etc. Huwezi kutegemea anything good kutoka mfumo huu lipualipua uliopo sasa.
   
 16. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #16
  Feb 11, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Maslahi muhimu katika fani yoyote, nimekuwa mwalimu kwa some 5 years na sijawahi kujihisi kama nafanya 'wito'! Nawajibika just like any sane human being who values work! I work and my work involves moulding some young fellows, and I get my ends met doing that.
   
 17. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #17
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,949
  Likes Received: 1,274
  Trophy Points: 280
  ahsante mkuu kwa mtazamo mpana. Nadhani ualimu ni zaidi teaching methodologies
   
 18. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #18
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,949
  Likes Received: 1,274
  Trophy Points: 280
  mkuu GURTA natambua kuwa maslahi ni muhimu sana, lakini wito na upendo kwa mwanafunzi havikwepeki
   
 19. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #19
  Feb 11, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,458
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  Mimi siwakubali walimu kwa ujumla wao. Wengi wao ni vilaza hasa wa diploma. Hawajui mambo mengi sana katika field zao. Mimi nawakubali hasa vijana wale wa form six.Kwa wale wakongwe wenzangu watawakumbuka watu kama wakina Mwang'onda walituwekea msingi wa hesabu na kiingereza level ya msingi. Mwang'onda sasa hivi ni mchumi wa benki. Tutawakumbuka watu kama Mood pale mchikichini, mtaalamu wa physics. Makanya pale Magomeni,mtaalam wa hisabati na physics, huyu baadae alienda Uturuki nk. Hawa waliniwekea msingi imara ambao mpaka leo nautumia. HAWA WALIMU WETU WENGI WAO NI VILAZA SANA. NA HUWA SISHANGAI SANA NIKISIKIA FANI NYINGI ZIMEJAA VILAZA, KWA SABABU NI ZAO LA WALIMU VILAZA. Kazi yao kubwa ni kuwafanyia wanafunzi wao mitihani ya NECTA NA MOCK hasa inapokaribia mitihani.Unategemea nini mwanafunzi anayefaulu kwa staili hiyo.
  NYAMBARI NYANGINYWE aliwaharibu zaidi wanafunzi kwa vijitabu vyake vile vilivyorahisishwa zaidi, na ndio wanavyotumia walimu wetu kuwafundishia wanafunzi.

  TUKITAKA KUENDELEA KUZALISHA MADAKTARI,WAHANDISI,WANASHERIA,WANASAYANSI BOMU LAZIMA TUANGALIE JINSI TUNAVYOZALISHA WALIMU WETU, WALIMU WETU WENGI WAO NI VILAZA. NA HILI LIMESABABISHWA NA CCM KWA MIAKA MINGI TANGU WAKATI WA NYERERE. KUMBUKENI WALIMU WA UPE NA SASA VODAFASTA. FANI HII IMEKUWA KIMBILIO LA WALIOFELI.
   
 20. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #20
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,949
  Likes Received: 1,274
  Trophy Points: 280
  @foundation, we umetoa mifano ya watu wenye uelewa mpana. Mwl ni zaidi ya kufundisha. Mwl ni mshauri, mnasihi, kiongozi n.k. Mtizamo wako ni hasi kuhusu walimu wote
   
Loading...