Mtazamo wangu kwa Media Tanzania: Waandishi Makanjanja nao ni Gamba Jingine

Wao( wandishi) wanapenda kujiita mhimili wa nne wa dola baada ya serikali, bunge na mahakama. unaweza kuona hata Teusi za rais za waandika hotuba zinavopewa covarage na prority. Lakini kuna teuzi za watu wengine muhimu watu hawawajui wanamsaidia rais wetu.
 
Byabato....Niatafurahi sana kukutana na wewe hapa jioni tulijadili hili kuanzia saa 2 usiku maana kama umeyasikiliza magazeti leo kuanzia Tahariri hadi habari za Kawaida...MEDIA Mmedhamiria kuliingiza Taifa katika Mgogoro Mkubwa wa KIDINI ambao mwisho wake yatakuwa ni maafa makubwa sana.

Nashngaa hii picha huko Newsroom kama hamuioni sijui kuna nini kimekusudiwa hapa kwa Umma wa Watanzania. Alichokiandika Mwanakijiji katika Thread yake ya hivi karibuni hakika kitatokea (Amefocus very far)
 
Mimi ninachojua kwa sasa makanjanja watawajibika juu ya ukanjanja wao
 
Back
Top Bottom