Mtazamo wangu juu ya ujio wa TIN kwa Waajiriwa

Wewe ndio ulikua huelewi unachokisema mpaka mtu mmoja hapo naona amekuelemisha. Kujifanya ujuaji kwenye hakuna. Mada inazungumzia TIN na waajiriwa. Wewe uje uweke mambo ya kampuni sijui TIN ya kampuni.
Kampuni toka lini ikawa muajiriwa. Kampuni ni mtu kisheria na hivyo inakua na TIN yake. Hiyo haimzuii share holder pia kuwa na TIN yake au kuwa muajiriwa.
Pumbav huna unalojua ng'ombe wewe
 
Road licence sidhani... kama ulifanya biashara na ulikadiriwa na hukuwataarifu washirika wako katika kodi hapo ndo kunaweza kuwa na tatizo.
 
TATIZO kubwa ninaliona katika Nchi hii ni kwamba huwa hamna taarifa rasmi zenye ufafanuzi wa wazi.Mara nyingi utaona jambo mitandaoni na kumbe ndio ukweli.

Kwa kweli watu wanahofu ya Kila kitu Mara sijui ukisambaza taarifa hii unachochea lakini kwann tusiangalie kipi kweli na si kweli Kingine ni aina ya kesi kila mara Kesi ni utakatishaji na uhujumu..Zimekua nyingi na maarufu sana this time.a
Tupe ufafanuzi maana wewe ni msemaji wa serikali
 
Mawazo ya kimaskini kabisa haya, yaani wewe unajifanya una nchi hapa sio ??, ungejua jinsi hao viongozi wenu wanavyoishi kama wako peponi usingesema huu upuuzi wako, hao viongozi pamoja na malipo makubwa wanayopewa, (mbunge kwa mfano 12million Tshs/mwezi) na bado analipiwa hela ya mafuta ya gari lake analipiwa marupurupu kibao na bado anapewa mkopo wa kununua gari ambalo akimaliza ubunge linakuwa la kwake na hawalipi kodi, akimaliza tu muda wake wa ubunge analipwa mafao yake hapo hapo, wakati mwalimu anaambiwa asubiri mpaka afikishe miaka 60 ndio apewe mafao yake tena kwa kusimangwa
Huyo jamaa ni DAS wa wilaya flan
 
Duuh niko home now napekenyua makabrasha hatimae nimeiona iko " attached na copy ya tin

Sasa hapo kwa job inabidi niwe na mpya?
Peleka hiyo hiyo kama ulishaisajili kwa alama za vidole, kama bado nenda TRA ukaisajili
 
Back
Top Bottom