Mtazamo wa wazungu baada ya uchaguzi wa Tanzania

NOT, amesema ni kipindi chake cha mwisho ila ni wajinga tu watakaomuamini. Kwa mfano asipoimaliza miradi mikubwa unadhani atatoka? Na marafiki zake kina Kagame/ Museven ambao tangu enzi hizo "WAPO"
Na ndiyo hao hao waliokubali kuja kwenye kuapishwa kwake
 
Bcoz Afrika hakuna utawala bora
Uliza TRUMP nini anawashangaza wababe wa demokrasia. Hataki kukabidhi madaraka. Ameshindwa uchaguzi analalama kuibiwa kura bila ushahidi. Demokrasia tunayolazimishwa kuifuata ina malengo makuu ya kuiba raslimali na utamaduni wetu ili tuendelee kutawaliwa kisasa zaidi
 
CCM ni majizi
 
Huwa najiuliza Sana,waafrika waliopo katika vyombo vikubwa vya nje ni kwanini huwa wanaikandia Sana Africa utafikiri wao ndio wazungu au huwa wanashinikizwa
Ukiwa ndani kwanza unakuwa na hofu na huwezi kusema pili huwezi kuona madudu ila toka nje sehemu yenye ulinzi na uhuru wa kuongea.
 
Mataifa yaliyo endelea na ambayo yamekuwa yakitufadhili kwenye sekta mbali mbali ya kumaendeleo yanazidi kutoa maoni yao juu ya matokeo ya uchaguzi wa Tanzania.

Hii hapa ni picha iliyotolewa na mojawapo ya kutuo kikubwa cha habari nchini Ujerumani juu ya mustakabali wa viongozi wa vyama vya upinzani nchini kwetu.

Kama taifa tuna kitu cha kujifunzaView attachment 1625231
Watanzania wamewakataa wapinzani msiwalazimishe.
 
msema kweli mpenzi wa Mungu ,niliyempigia kura ameshinda lakini atapoteza % kiasi ya credibility
 
Mataifa yaliyo endelea na ambayo yamekuwa yakitufadhili kwenye sekta mbali mbali ya kumaendeleo yanazidi kutoa maoni yao juu ya matokeo ya uchaguzi wa Tanzania.

Hii hapa ni picha iliyotolewa na mojawapo ya kutuo kikubwa cha habari nchini Ujerumani juu ya mustakabali wa viongozi wa vyama vya upinzani nchini kwetu.

Kama taifa tuna kitu cha kujifunzaView attachment 1625231
Tutajuta pamoja maswali kwanini tujute? Sifa za kishindo!?
 
Huwa najiuliza Sana,waafrika waliopo katika vyombo vikubwa vya nje ni kwanini huwa wanaikandia Sana Africa utafikiri wao ndio wazungu au huwa wanashinikizwa
Kwanini hujiulizi wanayofanya watawala wa kiafrika kwa watu wao au wewe hilo sio tatizo au na wewe ni mmoja wao unaweza ukajiuliza unavyotaka na wengine nao watajiuliza wanavyotaka wote tusikilizane tu
 
Huwa najiuliza Sana,waafrika waliopo katika vyombo vikubwa vya nje ni kwanini huwa wanaikandia Sana Africa utafikiri wao ndio wazungu au huwa wanashinikizwa.
Ni matokeo ya kukulia kwenye uduni wa maisha, na wanapoenda huko wanaugulia maumivu ya kukulia kwenye shida na waanza kama kulipiza kisasi kwa waliowasababishia maisha magumu.
 
Mataifa yaliyo endelea na ambayo yamekuwa yakitufadhili kwenye sekta mbali mbali ya kumaendeleo yanazidi kutoa maoni yao juu ya matokeo ya uchaguzi wa Tanzania.

Hii hapa ni picha iliyotolewa na mojawapo ya kutuo kikubwa cha habari nchini Ujerumani juu ya mustakabali wa viongozi wa vyama vya upinzani nchini kwetu.

Kama taifa tuna kitu cha kujifunzaView attachment 1625231
Hiyo imechorwa na muhuni zito au sg Tundu Lisu kisha wakaweka kwenye vitaarifa vya hayo magazeti.
 
Back
Top Bottom