Mtazamo wa Gado kuhusu hali ya elimu Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtazamo wa Gado kuhusu hali ya elimu Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Ngambo Ngali, Nov 6, 2011.

 1. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #1
  Nov 6, 2011
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Nimeona cartoon ya Gado ( Godfrey Mwapembwa) kwenye gazeti la East Africa la wiki hii, nimejaribu kutundika sina ufahamu huo.

  Cartoon hiyo ni zaidi ya kejeli na fedheha kwa watanzania
   
 2. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #2
  Nov 6, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,128
  Likes Received: 3,316
  Trophy Points: 280
  Ndiyo nani huyo?
   
 3. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #3
  Nov 6, 2011
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Mtanzania fulani anayeishi na kufanya kazi Kenya, anachorea magazeti ya Nation na The East African
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  Nov 6, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Hakuna cha kejeli hapo,yuko sahihi kabisa..elimu ya tz kwa sasa iko taaban kabisa,na hatua za dharura zicpo chukuliwa hii nchi itakua na wasomi wa vyeti tu.
   
 5. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #5
  Nov 6, 2011
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Wasomi wa vyeti ni wasomi wa namna gani?
   
 6. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #6
  Nov 6, 2011
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Weka link ya hiyo katuni, nitakusaidia kubandika picha hapa JF
   
 7. Mo-TOWN

  Mo-TOWN JF-Expert Member

  #7
  Nov 6, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,626
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Utaisadia jamii ya watz na hususani wewe binafsi iwapo utabainisha kejeli na fedheha ktk hiyo cartoon.
   
 8. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #8
  Nov 6, 2011
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Nimesoma kwenye gazeti moja kwa moja
   
 9. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #9
  Nov 6, 2011
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Ndio maana nimesema nimejaribu kuweka cartoon hiyo lakini nimeshindwa, cartoon haiwezi kusimuliwa ila inakuwa percieved na mtu kama anavyoweza kuielewa, nikianza kubainisha naweza kupotosha maudhui ya cartoon hiyo
   
 10. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #10
  Nov 6, 2011
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Poa poa...
   
Loading...