Mtazamo binafsi

Hahahaha,, umenena vyema mkuu barikiwa sana kuna mmoja rafiki yangu single maza amezaa watoto wawili kila mtoto na baba yake sasa niliwai kuomba mzigo kitambo sema gafla nikaamia mkoa mwingine kikazi sasa tumekutana mjini nikamwomba mzigo amekaza tena eti ananiambia nasubili mme wangu wa ndoa sitaki mme wa mtu nikajisemea kimoyomoyo utasubiri sana yani na watoto wako wawili mwanaume gani atakubali afunge ndoa na watoto wote tena baba wawili tofauti nikasema anyway ngoja tusubili naona juzi kanitafuta anasema nimtafutie mme
 
ha ha ha mkuu nenda kapewe majukumu...
 
Mkuu kuna mambo mengi mno ya ku discuss ila sio unalolisema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…