Mtazamo binafsi,""UN ELECTION""ingelistahili kupewa mandate ya kusimamia chaguzi,duniani.

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
20,058
23,510
Suala au NENO UCHAGUZI HASA KWA MATAIFA MENGI DUNIANI IMEKUWA NI TATIZO KUWA SANA NA LIMESHA LETA MAAFA MENGI SANA,
HIVI HAIWEZEKANI SUALA HILI LIKAWA NI SUALA AMBALO LITAKUWA LINASIMAMIWA NA UMOJA WA MATAIFA KWA ULAZIMA KWA KUTUMIA GHARAMA ZA NCHI HUSIKA ILI HATAMAYE TUWE TUNAWAPATA WASHINDI WA UKWELI KATIKA NCHI ZETU.
cc #lowassa
cc #mbowe
cc #maalim seif
cc wapenda haki popote walipo.
 
Mhh haliwezekan wao wapo kwa ajili ya misaada na kusuluhisha migogoro tu uwaongezee
 
Back
Top Bottom