Saint Anno II JF-Expert Member Sep 12, 2021 4,320 14,921 May 7, 2024 #141 magnifico said: Hapa unakubali kabisa kila mtu ana haki ya kuvaa anavyotaka baadae tutakukuta kwenye uzi wa maandamano ya wanawake Iran kupinga kufunika kichwa. Chakushangaza huko utakua upande wa Serikali. Click to expand... Hawa kaa nao kwa akili ni wanafiki duniani hakuna na haitawahi atokee mnafiki kuwazidi.
magnifico said: Hapa unakubali kabisa kila mtu ana haki ya kuvaa anavyotaka baadae tutakukuta kwenye uzi wa maandamano ya wanawake Iran kupinga kufunika kichwa. Chakushangaza huko utakua upande wa Serikali. Click to expand... Hawa kaa nao kwa akili ni wanafiki duniani hakuna na haitawahi atokee mnafiki kuwazidi.