Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,932
- 30,045
Itatiro????
Labda!!
Itatiro????
Ukisoma gazeti la Mtanzania ya leo limeelezea mambo mengi kuhusu Itatiro. Lakini kubwa zaidi ni hili la kutaka kuiendesha CUF kichadema zaidi. Mfano wanasema alishauri Lipumba asiende siku ya kuapishwa kikwete na hata alishauri CUF watoke nje siku ya kupitishwa mswada wa katiba. Hata mapendekezo ya kubadili mswada ambao umeshangiliwa sana na CUF yametoka kwake. Mnakumbuka msimamo wake hapa JF kuhusu mswada ulikuwa tofauti sana na msimamo waliouchukua CUF. Kwa hali hiyo namshauri ajiunge tu chadema. Na gazeti limeeleza kuwa alimwandikia Lipumba msg kusema kuwa CUF hakiwezi kumfikisha mahali anapotaka na Lipumba akampa Unaibu ili asiondoke. Namshauri asiendelee kukaa kwenye chama ambacho yeye mwenyewe hashabihiani na malengo na itikadi yake. Viongozi wa CUF wanamlalamikia kama pandikizi la chadema ndani ya CUF , si maneno yangu ila gazeti hilo
Nadhani MABANGE!!wewe ni ibange au mabange ?

Wadau mbona mnapenda kuangalia mambo madogo madogo badala ya hoja iliyotolewa?
Itatiro????
Mkuu habari za asubuhi mkuu hapo kwenye RED!umemaanisha au umeropoka kama siyo kupotoka???Ukisoma gazeti la Mtanzania ya leo limeelezea mambo mengi kuhusu Itatiro. Lakini kubwa zaidi ni hili la kutaka kuiendesha CUF kichadema zaidi. Mfano wanasema alishauri Lipumba asiende siku ya kuapishwa kikwete na hata alishauri CUF watoke nje siku ya kupitishwa mswada wa katiba. Hata mapendekezo ya kubadili mswada ambao umeshangiliwa sana na CUF yametoka kwake. Mnakumbuka msimamo wake hapa JF kuhusu mswada ulikuwa tofauti sana na msimamo waliouchukua CUF. Kwa hali hiyo namshauri ajiunge tu chadema. Na gazeti limeeleza kuwa alimwandikia Lipumba msg kusema kuwa CUF hakiwezi kumfikisha mahali anapotaka na Lipumba akampa Unaibu ili asiondoke. Namshauri asiendelee kukaa kwenye chama ambacho yeye mwenyewe hashabihiani na malengo na itikadi yake. Viongozi wa CUF wanamlalamikia kama pandikizi la chadema ndani ya CUF , si maneno yangu ila gazeti hilo
Wadau mbona mnapenda kuangalia mambo madogo madogo badala ya hoja iliyotolewa?
wewe ni ibange au mabange ?
Itatiro langu linauma kwelikweli!! Wasichana wa Kimboka watakuwa wamesha lijeruhi
Ukisoma gazeti la Mtanzania ya leo limeelezea mambo mengi kuhusu Itatiro. Lakini kubwa zaidi ni hili la kutaka kuiendesha CUF kichadema zaidi. Mfano wanasema alishauri Lipumba asiende siku ya kuapishwa kikwete na hata alishauri CUF watoke nje siku ya kupitishwa mswada wa katiba.
Hata mapendekezo ya kubadili mswada ambao umeshangiliwa sana na CUF yametoka kwake.
Mnakumbuka msimamo wake hapa JF kuhusu mswada ulikuwa tofauti sana na msimamo waliouchukua CUF. Kwa hali hiyo namshauri ajiunge tu chadema. Na gazeti limeeleza kuwa alimwandikia Lipumba msg kusema kuwa CUF hakiwezi kumfikisha mahali anapotaka na Lipumba akampa Unaibu ili asiondoke.
Namshauri asiendelee kukaa kwenye chama ambacho yeye mwenyewe hashabihiani na malengo na itikadi yake. Viongozi wa CUF wanamlalamikia kama pandikizi la chadema ndani ya CUF , si maneno yangu ila gazeti hilo
Anatumiwa na CUF kuwashawishi wakristo wajiunge nacho
da kwel jf burudaniwewe ni ibange au mabange ?