njiwa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 13,258
- 7,101
ushaanza, subiri 2020, haya unayoleta hayana faida kwako sasa hivi
Panapo Uhai na Maajaliwa nitakuwa humhumu JF Mungu akipenda
ushaanza, subiri 2020, haya unayoleta hayana faida kwako sasa hivi
Kazi iliyopo ni kuanza kujipanga na kujiimarisha mapema sana,viongozi wa vyama waandae strategies za kujenga vyama imara na kuhakikisha kwamba we formally aggragate our parties into strong coalition. Nadhan wabunge wa UKAWA waliolazimisha kugombea jimbo moja wamejifunza jambo...
Mpaka muda huu CUF wamelamba viti 20 hapa bado vile pending vya Temeke na Kinondoni...masikini Lipumba sijui anajisikiaje sasa hivi huko alipo...ila inaniuma Mtatiro kufanyiwa fitna na yule dada wa CHADEMA...
mapambano ni lazima yaenelee no matter wht.siku zinavyosogea mbele mamluki waliochangia ndoto zetu za kuunganisha upinzani zinafeli watajipambanua na tutaikomboa Tanzania toka kwa mkoloni mweusi ccm. peooopleeeesss