kson m
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 6,682
- 3,066
She must be fired.
She must be sn agent of ccm.lets wait and see!
She must be fired.
Huyu Dada wa CDM aliyemnyima Mtatiro nafasi ya kuingia bungeni hana akili kabisa
Pole na hongera Mtatiro, wewe na wenje mmeniuma sana! Na mbaya zaidi wewe kura zako zimepunguzwa na mgombea wa chadema na Wenje kura zake zimepunguzwa na mgombea wa cuf nyamagana.
hivi huyu ndugu ana umri gani labda 2020 atakuwa bado anaweza kututumikia
Chadema tumekua mafala wa mwisho jimmbo la segerea mamate sana yaani kata zote ukawa afu ubunge kwa hawa wasengerema mamaye dah chadema mmeniudhi yaani kutompeleka mtatiro mjengon
mimi nadhani CHADEMA NDIO WAMEBEBWA NA CUF ESPECIALLY UPANDE WA VISIWANI.... CHADEMA 2005 PEMBA KUNA MAJIMBO WALIKUWA HAWAFIKISHI HATA KURA ELFU MOJA ZA URAIS...
ni msomaji mzuri japo si siku zote nduguGoogle umuone, lakini hafiki 40. Kwani husomi gazeti la Mwananchi wewe?