Mtatiro Julius apata ajali mbaya Morogoro

Katika CUF naona JM ndio anajenga vizuri hoja, je MTM hujampata mwenyewe JM kwa simu au hapo Moro maana taarifa inahang

Ila kama ni kweli basi tuwaombee Mungu wote watoke wazima, ajali inaweza kuharibu gari watu wakatoka unhurt pia

Kwa uzoefu nilionao mtatiro atakuwa kashikiliwa kituo cha polisi badala ya kupata medical care,sorry to say polisi wetu ni vilaza mno.
Get well soon mpiganaji!!

Pole sn mwalimu mtatiro,ila siasa nzuri, unamiliki Toyota landcruiser!

Ohoo,kumbe jamaa ni ticha by profession?

Duh, sasa siasa imekua kimbilio kwa kila mtu,...walimu, madaktari, wachungaji, mainjinia, wafanyabiashara,.etc...

lakini wote hawa hamna wanacho kifanya kwa nchi yetu zaidi ya kuchumia matumbo yao na watoto wao

Nakumbuka aliwah kuwaambia wanafunz pale udsm mwaka mmoja baada ya kumaliza masomo kuwa ANAWASHAUR VIJANA WAINGIE KATIKA SIASA, NDIO NJIA PEKEE YA KUDAI HAKI KWAN WANASIASA NDIKO WALIKO,ALIKUA AKIHUTUBIA KWENYE MAADHIMISHO YA MUUNGANO @NKRUMAH
Ohoo,kumbe jamaa ni ticha by profession?

Duh, sasa siasa imekua kimbilio kwa kila mtu,...walimu, madaktari, wachungaji, mainjinia, wafanyabiashara,.etc...

lakini wote hawa hamna wanacho kifanya kwa nchi yetu zaidi ya kuchumia matumbo yao na watoto wao,...

Mkuu MTM, Kwa taarifa ya bibikuku ambayo ameitoa kwa uhakika, ajali imetokea saa11, wanafamilia hao waliosoma thread hii na kuhamaki hawana mawasiliano ya karibu na ndugu yao. Kama hali ya Mtatiro ni nzuri kama ilivyoripotiwa lazima atakuwa ametoa taarifa kwa baadhi ya ndugu. Anyways tunashukuru na zaidi Namshukuru Mungu my Coursemate is doing ok. GET WELL SOON BRO.
wewe ni ni mtu mpuuzi usiyejua kwanini nilisema niliyosema........... whatever happended disturbed us

u jusy missed my poitn

Kama wanafamilia wamesoma thats gud, wamtafute Mtatiro hewani, kama hapatikani wajue kuna lililomsibu, na kwa kuwa wewe ni mtu wa karibu na familia tujuze juhudi hizo za kutafuta uthibitisho wa taarifa hii.
it is always easy kama wewe si mwanafamilia,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, hujakutwa wewe ndio maana uko na nadharia hivyo

MTN, nadhani kaelezea vizuri hamna tatizo lolote!
Apta Kayla na MTN, hamna haja ya kuminyana wakuu, tuowambee waliopata ajali wapate nafuu

labda ni wa mkoa wa MARA,

We huku sisi Mara tunatumia ''l'' sana na sio ''r'' kama ulivyozoea mfano ''gari'' siku hizi tunaita ''gali''.

Poleni sana makomredi,Mwenyezi Mungu atawafanyia wepesi na kupata nafuu mapema.Tuko pamoja.

wewe ni ni mtu mpuuzi usiyejua kwanini nilisema niliyosema........... whatever happended disturbed us

u jusy missed my poitn

It seems like we missed eachother's point, thats y. I understand u mo than u think Mkuu. I happened 2b Mtatiro's coursemate pale UD, I knw mchango wake kwa Jamii ya wana UD , I will b the last person 2wish smth bad happened 2him.
When everything is ok, and u get 2calm down u will also understand me. Yes, mtoa mada alitumia hisia nyingi lakini wewe ulikuwa kwenye nafasi nzuri zaidi ya kufanyia kazi yale yaliyosemwa na kutoa taarifa isiyo na 'hisia' nyingi. Once again sorry if by anychance nimekuumiza wewe na familia, but that was not even near my intention, thats y I said, 'we missed eachother's point'

MTN, nadhani kaelezea vizuri hamna tatizo lolote!

Apta Kayla na MTN, hamna haja ya kuminyana wakuu, tuowambee waliopata ajali wapate nafuu

Usijali Mkuu, atakapotulia na kusoma nilichokieleza atanielewa kama ulivyoelewa wewe. Mimi nimemuelewa pamoja na kuniita mpuuzi.

Kamanda Mtatiro pole sana na ajali, Mungu ni mwema!!

Get well soon!

Poleni sana makamanda, Mungu awe nanyi mpate nafuu haraka tuendeleze mapambano.

Back
Top Bottom