Mtatiro Julius apata ajali mbaya Morogoro

Mtatiro Julius apata ajali mbaya Morogoro

Natoa pole kwa Ndugu yetu na mpigania haki Mtatiro na wenzake.
 
Pia nbichukue nafasi hiii kutoa pole zangu nyingi kwa Mwanaharakati J.Mtatiro na wenzake woote. Mungu ni mwema na atatenda jema
 
Daah! habari za kusikitisha sana! Pole nyingi sana kwa watanzania wote.
 
Tuombe yasiwakute mabaya wapiganaji wetu, Mtatiro ndio mpiganaji pekee aliyebaki CUF, namuombea kwa Mungu apone kwenye ajali hii
 
Jamani JF... hivi mnajua hata wanafamilia hawajui mlichoandika???
 
pole sana kamamda bwana yesu akutie nguvu amen
 
Natoa pole kwa mtatilo na wenzake. Naomba atakaepata taarifa sahihi atujuze hapa
 
poleni majeruhi wote. mungu atawabariki mtapata nafuu!
 
Umeharibu mwishoni yani Mungu awabariki CDM na CUF! Kwa lipi mnalo mpa Mungu peke yenu! Kwenye nyakati ngumu sote tuna usawa kwa Mungu!

Mungu wetu ni mwema na hatupa wote ulinzi wake! Kumbuka hata pale kwenye watu waovu Mungu hurusu Mvua inyeshe! CDM na CUF ni vyama vya Mapadri na Masheikhe? Mungu ampe nguvu Mtatiro bado Taifa lina hitaji mchango wake!
 
Poleni sana wapambanaji Mungu atawasaidia! Atakaye pata habari zaidi azidi kutujunza!
 
Nafuatilia kwa kina taarifa za Mtatiro kutoka Morogoro Polisi na kwa watu wangu wa karibu, soon nitawajulisheni kama kuna ukweli kwa kiasi gani na kinachoendelea pia
 
Pole ndugu zetu Mungu awalinde na awarejeshe afya yenu muendelee kupambana
 
Marmoboy... iwapo hii taarifa itakua si ya kweli, i will deal with you personally!!!
 
Maxence Melo can you verify please and tell us how are the casualties doing if the accident trully occured.
 
Namuombea Julius Mtatiro ili mwenyezi Mungu amponye kwani na yeye ni mpambanaji wa ukweli.
 
Mungu, kawanusuru Wapambanaji wetu hawa watoke salama kwenye ajali hiyo mbaya wakiwa buheri wa afya, Amen!!!!!!
 
Pole sana mkuu mtatiro, nakumbuka nilikuwa kwenye kamati yako kipindi kile unataka kugombea uprezider wa ud kabla hawajakupiga zengwe la GPA

get well soon
 
Back
Top Bottom