Speaker
JF-Expert Member
- Aug 12, 2010
- 6,324
- 2,242
Marmoboy... iwapo hii taarifa itakua si ya kweli, i will deal with you personally!!!
Kama sio kweli na suggest apewe TOTAL BAN maana atakua anafanya JF ionekane sehem ya mizaha
Marmoboy... iwapo hii taarifa itakua si ya kweli, i will deal with you personally!!!
Naunga mkono hojaKama sio kweli na suggest apewe TOTAL BAN maana atakua anafanya JF ionekane sehem ya mizaha

Sio kwamba tuombe Mungu iwe ni uongo, so that muhusika awe ni mzima wa afya..

Jamani jamani jamani... Watu sio namba

wanafamilia wamesoma hili bandiko na sasa hali si shwari.... Hivi marmoboy anajua hiki?
asante kwa taarifa hiziUkweli ni kwamba, Mtatiro kapata ajali umbali wa kilomita 15 kabla ya kuingia mjini Morogoro wakati akitokea Igunga na ajali imetokea saa 11 unusu. Hata hivyo Mtatiro yuko salama na amepata majeraha kidogo. Huu ndio Ukweli wa tukio hilo wakubwa!

Moro is my homeland,lakin kwa ajali inanitisha
Thanks kwa taarifa mkuu, huyo mleta mada ka hypo hii habari...nakuogopesha watuUkweli ni kwamba, Mtatiro kapata ajali umbali wa kilomita 15 kabla ya kuingia mjini Morogoro wakati akitokea Igunga na ajali imetokea saa 11 unusu. Hata hivyo Mtatiro yuko salama na amepata majeraha kidogo. Huu ndio Ukweli wa tukio hilo wakubwa!