Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,684
Naunga mkono hoja.....Mimi ni mwanachama na mkereketwa wa Chadema, nina kadi yangu toka mwaka 2007,
Japo mchakato na mwongozo wa kugawana majimbo ndani ya Ukawa haujakamilika ila ninataka kuwaasa viongozibwa Ukawa kumpa Mtatiro jimbo la Segerea kama wanataka kulipata hili jimbo kiulaini na kiurahisi sana.
Binafsi sijawahi kukutana na Mtatiro face to face na wala hanijui namfaha kama mwanasiasa makini mwelewa na mwenye upeo naweza kusema ni mojawapo ya mwanasiasa mkubwa sana hapa Tanzania na mwenye future nzuri.
Huyu jamaa kama kuna mtu ambaye anamfuatilia hawezi kupingana na mimi. Jamaa hana kinyongo na ni mwanasiasa makini asiye na tamaa ya madaraka.
viongozibwa ukawa huu ni ushauri wangu binafsi na wala sijatumwa na mtu.
Kama tunalitaka hili jimbo kiulaini lazima lipewe CUF na Mtatiro mwanasiasa makini asiye na makuu lazima ataleta changamoto kubwa sana Jimboni hadi bungeni.
Nina uhakika hata akipewa uwaziri atasimamia wananchi na rasilimali za nchi kwa matakwa ya wananchi.
go Mtatiro!! Jimbo ni la kwako.
SAINT IVUGA.
JF.
Inasemekana Segerea ni la CUF sio Chadema wa Nccr, chadema hawakufanya kura za maoni huko na cuf bado hawajaanza kura zao za maoniMimi ni mwanachama na mkereketwa wa Chadema, nina kadi yangu toka mwaka 2007,
Japo mchakato na mwongozo wa kugawana majimbo ndani ya Ukawa haujakamilika ila ninataka kuwaasa viongozibwa Ukawa kumpa Mtatiro jimbo la Segerea kama wanataka kulipata hili jimbo kiulaini na kiurahisi sana.
Binafsi sijawahi kukutana na Mtatiro face to face na wala hanijui namfaha kama mwanasiasa makini mwelewa na mwenye upeo naweza kusema ni mojawapo ya mwanasiasa mkubwa sana hapa Tanzania na mwenye future nzuri.
Huyu jamaa kama kuna mtu ambaye anamfuatilia hawezi kupingana na mimi. Jamaa hana kinyongo na ni mwanasiasa makini asiye na tamaa ya madaraka.
viongozibwa ukawa huu ni ushauri wangu binafsi na wala sijatumwa na mtu.
Kama tunalitaka hili jimbo kiulaini lazima lipewe CUF na Mtatiro mwanasiasa makini asiye na makuu lazima ataleta changamoto kubwa sana Jimboni hadi bungeni.
Nina uhakika hata akipewa uwaziri atasimamia wananchi na rasilimali za nchi kwa matakwa ya wananchi.
go Mtatiro!! Jimbo ni la kwako.
SAINT IVUGA.
JF.
Sawa, wamekusikia!
Inasemekana Segerea ni la CUF sio Chadema wa Nccr, chadema hawakufanya kura za maoni huko na cuf bado hawajaanza kura zao za maoni
Mimi ni mwanachama na mkereketwa wa Chadema, nina kadi yangu toka mwaka 2007,
Japo mchakato na mwongozo wa kugawana majimbo ndani ya Ukawa haujakamilika ila ninataka kuwaasa viongozibwa Ukawa kumpa Mtatiro jimbo la Segerea kama wanataka kulipata hili jimbo kiulaini na kiurahisi sana.
Binafsi sijawahi kukutana na Mtatiro face to face na wala hanijui namfaha kama mwanasiasa makini mwelewa na mwenye upeo naweza kusema ni mojawapo ya mwanasiasa mkubwa sana hapa Tanzania na mwenye future nzuri.
Huyu jamaa kama kuna mtu ambaye anamfuatilia hawezi kupingana na mimi. Jamaa hana kinyongo na ni mwanasiasa makini asiye na tamaa ya madaraka.
viongozibwa ukawa huu ni ushauri wangu binafsi na wala sijatumwa na mtu.
Kama tunalitaka hili jimbo kiulaini lazima lipewe CUF na Mtatiro mwanasiasa makini asiye na makuu lazima ataleta changamoto kubwa sana Jimboni hadi bungeni.
Nina uhakika hata akipewa uwaziri atasimamia wananchi na rasilimali za nchi kwa matakwa ya wananchi.
go Mtatiro!! Jimbo ni la kwako.
SAINT IVUGA.
JF.
Binafsi napendekeza Mtatiro asimamishwe jimbo la uchaguzi la Temeke. Sababu ni kuwa CUF ina wanachama na mashabiki wengi ktk jimbo hilo na hata uchaguzi wa serikali za mitaa CUF walifanya vema Temeke.
Chadema muachieni Mtatiro hili jimbo....tusikilizeni tafadhali....
Hivi nyie Ukawa mnataka sisi CCM tuende wapi?! Kilajimbo mnataka mshinde nyie tu. Kwani sisi hatuna watoto kamanyie? Sisitunaamini tumeongoza nchi hii kwa Amani na utulivu miaka 54. Hatukuwahi kuwawazia nyie mambo mabaya kamanyie mnavotaka tuwe. Tuna imani Mungu atatupigania.
Aisee huyo mtu anayeitwa rango ndiyekijana wangu huyo. Pamoja sana.Naunga mkono hoja.....
Wema sepetu si keshaenda kuongeza nguvu ili kumn'goa Lisu. Una wasi wasi gani bro
Hahahahaaa, rango kwa sound ni sheeeedah aiseee....kweli unamuelewa vizuri. pamoja sana mkuuAisee huyo mtu anayeitwa rango ndiyekijana wangu huyo. Pamoja sana.
Alifika kwenye mji mmoja unaitwa dirty. Akauteka mji wote kwa sound zake za uongo. 😂😂😂😂