Mtatiro aumbuka

Ukiona wanabwabwaja ujue kinewapata, Mtatiro komaa nao, tunahitaji mkosoaji mkuu wa mfalme.

Mtatiro namuona kama shujaa wa kizazi kipya, ni suala la Muda tu
 
Hivi na wewe ni wa kumkosoa Mtariro? Kwa ufahamu upi ulionao?
 
Ukiona wanabwabwaja ujue kinewapata, Mtatiro komaa nao, tunahitaji mkosoaji mkuu wa mfalme.

Mtatiro namuona kama shujaa wa kizazi kipya, ni suala la Muda tu
Ni moja ya vijana makini sana wanaosimamia wanachokiamini sio wachumia tumbo hawa. Sasa kama mtu hajawahi kuajiriwa inampunguzia nini yeye? Kua kiongozi huku CUF haikua ajira? Kuajiriwa na kulipwa mshahara ndio sifa ya kiongozi bora?
 
Kiukweli maneno aliyoyatamka rais huko Zanzibar yamekosa hekima....na hayakupaswa kuzungumzwa na mtu kama yey hasa katika kipindi kama na hali ilivyo huko Zanzibar......
Ni kama ameuwasha moto ambao ulikwa unakaribia kuzimika......

Muungwana hupima uzito wa maneno yake kabla ya kuyatamka.....kwani anatambua uzito wa ulimi kimatamshi....!!??
 
Teh teh...mleta mada bwana.....teh teh.......
 
Asante kwa kuandika uzi huu maana sasa nimetambua ni akina nani wapo nyuma ya prof katika kuivuruga CUF
 
Pamoja na matatizo yote ya Mtatiro, alicho mkosoa Rais kilikuwa ni kweli
Sikutegemea kama Rais ange zungumza aliyo ya tamka huko z"bar
Mbona mtatiro alikaa kimya wakati sefu alipokataa kutoa mkono kwa Dr Shein?
 
Upinzani wanashangalia kila jambo la chuki linalo fanywa na upinzani... Hawajui kitendo cha Maalim kukataa kumpa mkono Shein.. Na mtatiro alipongeza...
 
Rais ni wa watu wote, hata kama Mwananchi 1 hakukubali ni lazima umpe haki zake anazostahili
 
**** maana nakumbuka tangu amalize chuo hajawahi kuajiliwa sehemu yeyote ile

NYARUKURURU

Jana kuna DC mmoja alisema kwa Msomi (excluding yeye ????) kuwaza kuajiriwa baada ya kumaliza Chuo ni Upuuzi.
So based on what you wrote above,niki m reffer DC wewe ni Mpuuzi unless wewe sio Msomi, means wewe ni Tabu Darasa hivyo tuna Kupuuza na kukuhurumia kwa utumbo ulioleta

PS

Naona umeweka kabisa hapo chini na contacts details zako ili ufikiwe kwa urahisi kwenye uteuzi

MTatiro ni mwandishi wa makala gazeti LA mwananch
Mtatiro ni mchambuzi wa mambo ya kisiasa
Mtatiro anahojiwa Mara kwa mara na vyombo vya kimataifa na kitaifa
Sasa bila shaka mleta mada ni mchawi na hana kazi ya maana
 
Kuna watu ambao kweli kodi za wananchi zilitumika vibaya kwa kuwasomesha na bado wakarudi hawajitambui. Nawe muandika uzi huu ni mojawapo. Na hili ndo janga lingine la kitaifa
 
Tabu sana hawa Vijana wa Lumumba
 
MAULANA, MOLA WETU RHABUKA AMESHUKA NCHINI KWETU TANZANIA. ...NA AMESHA MWEKA RAIS WETU JPJM. ......atakaye mbariki naye atabarikiwa, atakaye mlaani, JPJM atabarikiwa na alaaniye atalaaniwa......MWENYE MASIKIO NA AYASIKIE HAYA
 
Kuna watu ambao kweli kodi za wananchi zilitumika vibaya kwa kuwasomesha na bado wakarudi hawajitambui. Nawe muandika uzi huu ni mojawapo. Na hili ndo janga lingine la kitaifa
Nna Mashaka sana na jamaa kuwa aliishia Standard Seven tu
 
Ameumbukaje sasa! Kaandike tena upya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…