Mzee Mwenzangu
Senior Member
- Dec 23, 2013
- 190
- 168
Kwenye Maisha unaweza kufanya jambo bila kuangalia standard yako, sio kusudi but hua inatokana na kutokufahamu uwezo wako na umuhimu wako katika maisha yako na jamii inayokuzunguka.
Lengo langu hasa ni kumhusu jamaa mmoja ambaye kapewa nafasi ya juu kwenye Chama cha siasa nchini (CUF), Nlisoma nae UDSM, alikua kiongozi imara na asiye tetereka kwa wale mnaomjua nadhani mtakubaliana nami, jamaa anajulikana kwa jina la Julius Mtatiro.
Kipindi tuko University alikua waziri mkuu na aliweza kusimamia mambo mengi bila woga na hata alipopata upinzani toka kwa raisi na waziri wa mikopo(Bush) jamaa hakujali na kuweka misimamo kwa manufaa ya wanafunzi wa hali ya chini. Sakata la wakati huo lilikua Kuanza kwa 40%. Wanafunzi wote tulipinga kwa msaada mkubwa wa Bwana Mtatiro Julius tulifanikiwa na kuanza kwa mean testing.
Rais wa Chuo na waziri wa Mikopo walipewa namna na serikali ya CCM, ili kusimamisha migomo na kutushurutisha wanafunzi wote tuache migomo, but Julius alikataa na kuwa pamoja nasi, mpaka ikamsababishia matatizo baada ya kusimamishwa chuo.
Kitu kinachoniuma mpaka kukaa kitako na kuchora waraka huu ni kutokana na Julius kujiunga na chama chenye nguvu hafifu kwa na kusababisha kupoteza nia yake.
Hua naamini kama angekua kwenye chama pinzani chenye nguvu basi hata mtu kama ZZK angekua anafuta nyuma tu, sababu jamaa yuko halisi sana.
Hayo ni mawazo yangu na maono binafsi.

Julius ni mkristo, ndio maana nasema sijui kwa nini alimade such decision?..
Tunamhitaji sana bwana Julius
Mbona nasikia sharti la kupewa unaibu katibu mkuu ilikuwa inaambata na kubadili dini ?.
Kwenye Maisha unaweza kufanya jambo bila kuangalia standard yako, sio kusudi but hua inatokana na kutokufahamu uwezo wako na umuhimu wako katika maisha yako na jamii inayokuzunguka.
Lengo langu hasa ni kumhusu jamaa mmoja ambaye kapewa nafasi ya juu kwenye Chama cha siasa nchini (CUF), Nlisoma nae UDSM, alikua kiongozi imara na asiye tetereka kwa wale mnaomjua nadhani mtakubaliana nami, jamaa anajulikana kwa jina la Julius Mtatiro.
Kipindi tuko University alikua waziri mkuu na aliweza kusimamia mambo mengi bila woga na hata alipopata upinzani toka kwa raisi na waziri wa mikopo(Bush) jamaa hakujali na kuweka misimamo kwa manufaa ya wanafunzi wa hali ya chini. Sakata la wakati huo lilikua Kuanza kwa 40%. Wanafunzi wote tulipinga kwa msaada mkubwa wa Bwana Mtatiro Julius tulifanikiwa na kuanza kwa mean testing.
Rais wa Chuo na waziri wa Mikopo walipewa namna na serikali ya CCM, ili kusimamisha migomo na kutushurutisha wanafunzi wote tuache migomo, but Julius alikataa na kuwa pamoja nasi, mpaka ikamsababishia matatizo baada ya kusimamishwa chuo.
Kitu kinachoniuma mpaka kukaa kitako na kuchora waraka huu ni kutokana na Julius kujiunga na chama chenye nguvu hafifu kwa na kusababisha kupoteza nia yake.
Hua naamini kama angekua kwenye chama pinzani chenye nguvu basi hata mtu kama ZZK angekua anafuta nyuma tu, sababu jamaa yuko halisi sana.
Hayo ni mawazo yangu na maono binafsi.
Mkuu Dikembe, kuhusu Mtatiro huko aliko kwenye chama cha fugate, niliwahi kueleza kuwa uwepo wake ni muhimu sana kama dekio na dodoki la kusafishia ule uchafu wa ile dhana!. Nilimshauri bora ahamie kule kwenye ile saccos!, kwa sasa simshauri kabisa Mtatiro kuhamia kule kuna hatari wanaweza hata wakamtatira!. Kama Shonza walimshonzoa, Mwigamba wakamwiga, Kabwe wakamkaba, Mkumbo wakamkumba!, hivyo Mtatiro wangemtatira!.Kwenye Maisha unaweza kufanya jambo bila kuangalia standard yako, sio kusudi but hua inatokana na kutokufahamu uwezo wako na umuhimu wako katika maisha yako na jamii inayokuzunguka.
Lengo langu hasa ni kumhusu jamaa mmoja ambaye kapewa nafasi ya juu kwenye Chama cha siasa nchini (CUF), Nlisoma nae UDSM, alikua kiongozi imara na asiye tetereka kwa wale mnaomjua nadhani mtakubaliana nami, jamaa anajulikana kwa jina la Julius Mtatiro.
Kipindi tuko University alikua waziri mkuu na aliweza kusimamia mambo mengi bila woga na hata alipopata upinzani toka kwa raisi na waziri wa mikopo(Bush) jamaa hakujali na kuweka misimamo kwa manufaa ya wanafunzi wa hali ya chini. Sakata la wakati huo lilikua Kuanza kwa 40%. Wanafunzi wote tulipinga kwa msaada mkubwa wa Bwana Mtatiro Julius tulifanikiwa na kuanza kwa mean testing.
Rais wa Chuo na waziri wa Mikopo walipewa namna na serikali ya CCM, ili kusimamisha migomo na kutushurutisha wanafunzi wote tuache migomo, but Julius alikataa na kuwa pamoja nasi, mpaka ikamsababishia matatizo baada ya kusimamishwa chuo.
Kitu kinachoniuma mpaka kukaa kitako na kuchora waraka huu ni kutokana na Julius kujiunga na chama chenye nguvu hafifu kwa na kusababisha kupoteza nia yake.
Hua naamini kama angekua kwenye chama pinzani chenye nguvu basi hata mtu kama ZZK angekua anafuta nyuma tu, sababu jamaa yuko halisi sana.
Hayo ni mawazo yangu na maono binafsi.
Unajua mkuu, inawezekana angeenda kwenye hiki chama andetengeneza ile combination ambayo ni perfect. Inawezekana mapungufu ya hiki chama yanahitaji mtu kama Julius Mtatiro. CDM ingekua kama Barcelona kwenye soka....Kwa bahati mbaya sana chama ambacho angeweza kujiunga nacho alikigundua kuwa ni cha Kikabila na kikanda ndo maana akajiunga na CUF ambayo imeanza ku mature kwa kuachana na siasa za kidini, kikabila na ukanda.
Unajua mkuu, inawezekana angeenda kwenye hiki chama andetengeneza ile combination ambayo ni perfect. Inawezekana mapungufu ya hiki chama yanahitaji mtu kama Julius Mtatiro. CDM ingekua kama Barcelona kwenye soka....
Kitu kingine kibaya kwenye siasa huwezi kuhama na kubaki katika ile level yako, lazima utadrop tu, watu hawatakua na imani na wewe, hivyo nasikitika kumkosa Julius kwenye movement ya Engua CCM.