Mtatiro alifanya Wrong choice...

Mtatiro alifanya Wrong choice...

dikembe

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
1,645
Reaction score
1,439
Kwenye Maisha unaweza kufanya jambo bila kuangalia standard yako, sio kusudi but hua inatokana na kutokufahamu uwezo wako na umuhimu wako katika maisha yako na jamii inayokuzunguka.

Lengo langu hasa ni kumhusu jamaa mmoja ambaye kapewa nafasi ya juu kwenye Chama cha siasa nchini (CUF), Nlisoma nae UDSM, alikua kiongozi imara na asiye tetereka kwa wale mnaomjua nadhani mtakubaliana nami, jamaa anajulikana kwa jina la Julius Mtatiro.

Kipindi tuko University alikua waziri mkuu na aliweza kusimamia mambo mengi bila woga na hata alipopata upinzani toka kwa raisi na waziri wa mikopo(Bush) jamaa hakujali na kuweka misimamo kwa manufaa ya wanafunzi wa hali ya chini. Sakata la wakati huo lilikua Kuanza kwa 40%. Wanafunzi wote tulipinga kwa msaada mkubwa wa Bwana Mtatiro Julius tulifanikiwa na kuanza kwa mean testing.

Rais wa Chuo na waziri wa Mikopo walipewa namna na serikali ya CCM, ili kusimamisha migomo na kutushurutisha wanafunzi wote tuache migomo, but Julius alikataa na kuwa pamoja nasi, mpaka ikamsababishia matatizo baada ya kusimamishwa chuo.
Kitu kinachoniuma mpaka kukaa kitako na kuchora waraka huu ni kutokana na Julius kujiunga na chama chenye nguvu hafifu kwa na kusababisha kupoteza nia yake.

Hua naamini kama angekua kwenye chama pinzani chenye nguvu basi hata mtu kama ZZK angekua anafuta nyuma tu, sababu jamaa yuko halisi sana.

Hayo ni mawazo yangu na maono binafsi.
 
Naweza kufananisha na kuhama kwa Carlos Teves manchester Cty.....kapotea kwa sasa
 
Mtatiro ana akili kubwa hawezi kujiunga na wenye akili ndogo!

Si unajua matokeo yake kwa wenye akili kubwa wenzake kama kina Kitila na Zitto, wako wapi sasa hivi?

Wameshabadilishwa na majina sasa hivi wanaitwa wasaliti!
 
Maoni yako ni mazuri sana kulingana na uhalisia wa mambo unayoyajua. Ila hapo ulipoweka jina la mh.Zitto utakuwa umetibua NYONGO za watu na hivyo mada yako hii nzuri kuchangiwa ndivyosivyo...
 
huko kuko cuf atasaidia kuendeleza demokrasia, kwani hukumbuki kabla ya cdm cuf ndiyo kilikuwa chama maarufu zaidi?.
 
CUF walizikwa kitambo baada ya kusingiziwa wameingiza Contena na VISU na MAJAMBIA kabla ya uchaguzi mkuu wa 2000. ni kweli huyu jamaa anapoteza muda wake kule unless kama wanamlipa vizuri na shida yake iwe ni pesa na wala si kutetea wananchi wanyonge wa nchi hii.
 
Julius mtatiro..jamaa hana tamaa, kuna watu alikua nao kipindi akiwa university, walimsaliti na wakawa upande wa serikali wakapewa nafasi nzuri sana. mmoja yuko pale utawala UDSM, but jamaa akapambana kivyake, but nlishangaa sana kutokana na maamuz yake ya kujiunga CUF kwani kipindi yuko chuo alikua swahiba mkubwa wa ZZK.
 
CUF walizikwa kitambo baada ya kusingiziwa wameingiza Contena na VISU na MAJAMBIA kabla ya uchaguzi mkuu wa 2000. ni kweli huyu jamaa anapoteza muda wake kule unless kama wanamlipa vizuri na shida yake iwe ni pesa na wala si kutetea wananchi wanyonge wa nchi hii.
Kuhusu pesa jamaa analipwa vizuri sana, maisha yake yamebadilika sana. But sidhani kama ndio lengo lake. MI NAITA MISS USE OF RESOURCES
 
huko kuko cuf atasaidia kuendeleza demokrasia, kwani hukumbuki kabla ya cdm cuf ndiyo kilikuwa chama maarufu zaidi?.
Ni kweli lakini kipindi anaingia CUF tayar, CUF tayar kilikua kimepoteza uelekeo
 
Maoni yako ni mazuri sana kulingana na uhalisia wa mambo unayoyajua. Ila hapo ulipoweka jina la mh.Zitto utakuwa umetibua NYONGO za watu na hivyo mada yako hii nzuri kuchangiwa ndivyosivyo...
Kuweka jina la ZZK, ni kutokana na umri wake na changamoto alizoleta kwenye siasa za Tanzania, Lakini amekua msaliti kna hii ni mapungufu ambayo mtatiro aliweza kuyakwepa pale alipoitwa na wakuu wa CCm na kuahidiwa neema baada ya ku graduate. Hivyo nadhani mtatiro ni Super sub ya Zito kabwe.
 
Ila kiukweli jamaa inaonesha anaroho ngumu. Nakumbuka mwaka jana Mwenyekiti wake lipumba alikuwa akihutubu msikiti mmoja pale kariakoo na kuwaambia waislamu kuwa wenzao wakrusto wana chama chao kwa hiyo na wao waislamu wa uchukue hatua. Sijui mtatiro yy dini gani. Au maslahi kwanza?
 
Kwenye Maisha unaweza kufanya jambo bila kuangalia standard yako, sio kusudi but hua inatokana na kutokufahamu uwezo wako na umuhimu wako katika maisha yako na jamii inayokuzunguka.

Lengo langu hasa ni kumhusu jamaa mmoja ambaye kapewa nafasi ya juu kwenye Chama cha siasa nchini (CUF), Nlisoma nae UDSM, alikua kiongozi imara na asiye tetereka kwa wale mnaomjua nadhani mtakubaliana nami, jamaa anajulikana kwa jina la Julius Mtatiro.

Kipindi tuko University alikua waziri mkuu na aliweza kusimamia mambo mengi bila woga na hata alipopata upinzani toka kwa raisi na waziri wa mikopo(Bush) jamaa hakujali na kuweka misimamo kwa manufaa ya wanafunzi wa hali ya chini. Sakata la wakati huo lilikua Kuanza kwa 40%. Wanafunzi wote tulipinga kwa msaada mkubwa wa Bwana Mtatiro Julius tulifanikiwa na kuanza kwa mean testing.

Rais wa Chuo na waziri wa Mikopo walipewa namna na serikali ya CCM, ili kusimamisha migomo na kutushurutisha wanafunzi wote tuache migomo, but Julius alikataa na kuwa pamoja nasi, mpaka ikamsababishia matatizo baada ya kusimamishwa chuo.
Kitu kinachoniuma mpaka kukaa kitako na kuchora waraka huu ni kutokana na Julius kujiunga na chama chenye nguvu hafifu kwa na kusababisha kupoteza nia yake.

Hua naamini kama angekua kwenye chama pinzani chenye nguvu basi hata mtu kama ZZK angekua anafuta nyuma tu, sababu jamaa yuko halisi sana.

Hayo ni mawazo yangu na maono binafsi.

you are far inferior than you think,if u know the rules of teamwork u were not suppose to mention zitto as a comparison

zito ni zito,julius ni julius,ww ni ww kila mmoja ana umuhimu wake na wote wanahitajika

mtatiro chadema angeondoka siku mbili tu!!! he better stay there

btw kumbe unamkubali zitto??

degree holder?? hell no
 
Mtatiro sio bendera fuata upepo kama wewe,yeye anafanya uamuzi kulingana na akili yeke inavyomtuma.Wewe unataka akaongozwe na akili ndogo?wazee wa dhulma kuchuma mchume wote kula wale wao.Hapana mtatiro uko sahahi sana kuwa CUF .
 
Ila kiukweli jamaa inaonesha anaroho ngumu. Nakumbuka mwaka jana Mwenyekiti wake lipumba alikuwa akihutubu msikiti mmoja pale kariakoo na kuwaambia waislamu kuwa wenzao wakrusto wana chama chao kwa hiyo na wao waislamu wa uchukue hatua. Sijui mtatiro yy dini gani. Au maslahi kwanza?
Julius ni mkristo, ndio maana nasema sijui kwa nini alimade such decision?..
Tunamhitaji sana bwana Julius
 
ngoja nimshauri aje chadema tusonge mbele
 
Mtatiro sio bendera fuata upepo kama wewe,yeye anafanya uamuzi kulingana na akili yeke inavyomtuma.Wewe unataka akaongozwe na akili ndogo?wazee wa dhulma kuchuma mchume wote kula wale wao.Hapana mtatiro uko sahahi sana kuwa CUF .
Kuwepo kwa Julius ndani ya CUF ni tatizo, anastahili mahali zaidi ya CUF, hii ni sawa na kutumia Tractor kulimia bustani ya mboga. Sijasema aende CDM, but kama CDM ni chama pinzani chenye nguvu hapo sawa aende.
 
you are far inferior than you think,if u know the rules of teamwork u were not suppose to mention zitto as a comparison

zito ni zito,julius ni julius,ww ni ww kila mmoja ana umuhimu wake na wote wanahitajika

mtatiro chadema angeondoka siku mbili tu!!! he better stay there

btw kumbe unamkubali zitto??

degree holder?? hell no

Nadhani hujanielewa vizuri mkuu,
Nimetoa mfano wa zito kwa misingi ifuatayo,:
1.umri wake na changamoto alizoonyesha kwenye siasa yetu
2. Mapungufu yake ambayo nadhani ni usaliti kama uliofanywa na Deo na Bush kipindi cha uongoz wa mtatiro UDSM
Kupitia hayo, namba mbili ni Ubora wa Julius ukifananisha ZZK, But cha ajabu ZZK amekua mashuhuri na gumzo katika siasa ya Tz compare to Julius.
 
Back
Top Bottom