Mtasema sana, CHADEMA tunasonga mbele

Joshua Hagai

Senior Member
Jul 8, 2015
111
20
Akili ya mtu anayeitwa mwana CCM huwa haina tofauti sana na akili ya karunguyeye.Vifo vingi vya karunguyeye hutokea njiani au katika mabarabara?
.
Umewahi kujiuliza ni kwa nini?
.
Upeo wa kupambanua mambo huwasumbua sana CCM,Ndio maana nawafananisha na karunguyeye.
.
Kuteleza sio kuanguka,CHADEMA imefanya vibaya katika halmashauri mbili kwa kupata hati chafu kwa mujibu wa CAG.Leo wana CCM kwa upeo wao kama wa karunguyeye wanasema je,wangepewa nchi wangeweza?
Mimi nasema tungeweza zaidi tena maradufu ya nyinyi mlioshindwa miaka 55.
.
Mkurugenzi ndiyo mtendaji mkuu wa shughuli za halmashauri akishirikiana na waheshimiwa madiwani katika kutekeleza majukumu.
.
Mkurugenzi anateuliwa na rais na rais ametokana na chama tawala chenye ndumakuwili wengi.
Hivyo huwezi sema CHADEMA imeshindwa kusimamia halmashauri ilihali tunamkurugenzi aliyeteuliwa na rais,hujuma na ukwamishaji wa mipango mikakati ya CHADEMA katika halmashauri zinakwamishwa na watendaji wabovu wa serikali ya CCM.
.
CHADEMA TUNASONGA MBELE.
 
Zingefanya vizuri mngesema chadema, mmepata hati chafu mnasema mkurugenzi kwakuwa kachaguliwa na rais,

mashinji hakukosea aliposema kupayuka payuka chadema basi, mbona we bado unaendele na mpayuko?
 
Akili hii ya ajabu kabisa,hivi ulishawahi ata kuudhuria baraza la madiwani?
 
Akili ya mtu anayeitwa mwana CCM huwa haina tofauti sana na akili ya karunguyeye.Vifo vingi vya karunguyeye hutokea njiani au katika mabarabara?
.
Umewahi kujiuliza ni kwa nini?
.
Upeo wa kupambanua mambo huwasumbua sana CCM,Ndio maana nawafananisha na karunguyeye.
.
Kuteleza sio kuanguka,CHADEMA imefanya vibaya katika halmashauri mbili kwa kupata hati chafu kwa mujibu wa CAG.Leo wana CCM kwa upeo wao kama wa karunguyeye wanasema je,wangepewa nchi wangeweza?
Mimi nasema tungeweza zaidi tena maradufu ya nyinyi mlioshindwa miaka 55.
.
Mkurugenzi ndiyo mtendaji mkuu wa shughuli za halmashauri akishirikiana na waheshimiwa madiwani katika kutekeleza majukumu.
.
Mkurugenzi anateuliwa na rais na rais ametokana na chama tawala chenye ndumakuwili wengi.
Hivyo huwezi sema CHADEMA imeshindwa kusimamia halmashauri ilihali tunamkurugenzi aliyeteuliwa na rais,hujuma na ukwamishaji wa mipango mikakati ya CHADEMA katika halmashauri zinakwamishwa na watendaji wabovu wa serikali ya CCM.
.
CHADEMA TUNASONGA MBELE.
chadema itasongaje mbele huku imekumbatia mafisadi ?
 
sielewi chadema itasonga mbele kwa kusimamia ajenda gani? kumbuka ajenda ya muhimu sana tumeshaizika. sasa hivi tunasimama wapiiiiii.
tusijipe moyo kwa mazingira yasiyowezekana.tuwe wakweli na ukweli utatuweka huru always
 
mimi ni mwanachadema tena kiongozi mahala fulani ..ukweli ni kwamba tusipo badili siasa za chama chetu na kujikita katika fact na logic reasoning hatuwezi kufanya kitu,tusikumbatie uchama ikifika hatua ya kusema kwel tusema kwa sasa chadema mfumo watu hauna utofauti na Ccm !!!
 
Akili ya mtu anayeitwa mwana CCM huwa haina tofauti sana na akili ya karunguyeye.Vifo vingi vya karunguyeye hutokea njiani au katika mabarabara?
.
Umewahi kujiuliza ni kwa nini?
.
Upeo wa kupambanua mambo huwasumbua sana CCM,Ndio maana nawafananisha na karunguyeye.
.
Kuteleza sio kuanguka,CHADEMA imefanya vibaya katika halmashauri mbili kwa kupata hati chafu kwa mujibu wa CAG.Leo wana CCM kwa upeo wao kama wa karunguyeye wanasema je,wangepewa nchi wangeweza?
Mimi nasema tungeweza zaidi tena maradufu ya nyinyi mlioshindwa miaka 55.
.
Mkurugenzi ndiyo mtendaji mkuu wa shughuli za halmashauri akishirikiana na waheshimiwa madiwani katika kutekeleza majukumu.
.
Mkurugenzi anateuliwa na rais na rais ametokana na chama tawala chenye ndumakuwili wengi.
Hivyo huwezi sema CHADEMA imeshindwa kusimamia halmashauri ilihali tunamkurugenzi aliyeteuliwa na rais,hujuma na ukwamishaji wa mipango mikakati ya CHADEMA katika halmashauri zinakwamishwa na watendaji wabovu wa serikali ya CCM.
.
CHADEMA TUNASONGA MBELE.
Mnasonga mbele kwenda kwenye ufisadi.
 
Kwa maana hiyo haina haja ya kuchagua wabunge Na madiwni wa Upinzani kwenye halmashauri zetu, maana kila kitu kitu kinakuwa Chini ya CCM.?
 
mimi ni mwanachadema tena kiongozi mahala fulani ..ukweli ni kwamba tusipo badili siasa za chama chetu na kujikita katika fact na logic reasoning hatuwezi kufanya kitu,tusikumbatie uchama ikifika hatua ya kusema kwel tusema kwa sasa chadema mfumo watu hauna utofauti na Ccm !!!

Mkuu umeandika maneno machache ya msingi sana...lakini wafia chama lazima watakuambia kuwa umenunuliwa.....lakini huo ndio ukweli....
 
Akili ya mtu anayeitwa mwana CCM huwa haina tofauti sana na akili ya karunguyeye.Vifo vingi vya karunguyeye hutokea njiani au katika mabarabara?
.
Umewahi kujiuliza ni kwa nini?
.
Upeo wa kupambanua mambo huwasumbua sana CCM,Ndio maana nawafananisha na karunguyeye.
.
Kuteleza sio kuanguka,CHADEMA imefanya vibaya katika halmashauri mbili kwa kupata hati chafu kwa mujibu wa CAG.Leo wana CCM kwa upeo wao kama wa karunguyeye wanasema je,wangepewa nchi wangeweza?
Mimi nasema tungeweza zaidi tena maradufu ya nyinyi mlioshindwa miaka 55.
.
Mkurugenzi ndiyo mtendaji mkuu wa shughuli za halmashauri akishirikiana na waheshimiwa madiwani katika kutekeleza majukumu.
.
Mkurugenzi anateuliwa na rais na rais ametokana na chama tawala chenye ndumakuwili wengi.
Hivyo huwezi sema CHADEMA imeshindwa kusimamia halmashauri ilihali tunamkurugenzi aliyeteuliwa na rais,hujuma na ukwamishaji wa mipango mikakati ya CHADEMA katika halmashauri zinakwamishwa na watendaji wabovu wa serikali ya CCM.
.
CHADEMA TUNASONGA MBELE.
chadema itasongaje mbele huku i
 
mimi ni mwanachadema tena kiongozi mahala fulani ..ukweli ni kwamba tusipo badili siasa za chama chetu na kujikita katika fact na logic reasoning hatuwezi kufanya kitu,tusikumbatie uchama ikifika hatua ya kusema kwel tusema kwa sasa chadema mfumo watu hauna utofauti na Ccm !!!
...ni kweli mkuu...chadema ya leo ni kama ccm ya jana
 
Kuwa na akili wewe,tuhuma hizo kama unauhakika nazo mpeleke huyo fisadi mahakamani na sio unazungumza vichochoroni kama kunguni.
 
Back
Top Bottom