Mtarajiwa wangu simuelewi

Maisha yake kwa ujumla yapo vipi???

Anakazi?Ana account walau ya milion 4 apart from kazi???

Amefika miaka 28+?


Una enjoy sex kwenye mahusiano yako???

Ukipata jibu pa hapana kwenye hayo maswali inaeezekana ndo sababu siamini kama hakupendi angekuwa keshakuacha zamani by the way don't force things
 

Hii ndoa ilikuja kupatikana?.... maana mimi kila nikisoma ID yako (put in) nasisimka
 
Mrejesho tafadhali. Hili swala lili ishaje.
 
Huyo keshapata wa kumuhudima huko atakuelewa wewe na wao mapenzi yao ni moto sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…