Namkunda OG
JF-Expert Member
- Nov 17, 2015
- 827
- 1,048
Nilishajaribu akisikia sauti yangu tu anakata cmEmbu jaribu kumpigia kwa namba nyingine..
Duuh...Basi Hapo hakuna ndoa mpendwa..Shika hamsini zakoNilishajaribu akisikia sauti yangu tu anakata cm
Nilishajaribu akisikia sauti yangu tu anakata cm
Duh ndio ameshakuacha hivyo chukua 50 zako dadaHabari wana jamii...naomba mnisaidie yapata miaka mitano sasa toka nimekuwa naye kwenye mahusiano na tukapanga kuoana mwaka huu mwez wa 4 huu mpango tuliuweka toka mwaka 2012...cha ajabu namuuliza tarehe yakuja nyumban anijibu...nikimtumia SMS hajibu nikipiga cm hapokei...na yeye yupo mbeya me npo mwanza..na hapo nyuma nimekataa wachumba wengi sana kwa ajili yake....nipo njia panda sijui chakufanya ...mawazo yenu ni yamuhimu sana
Nilishajaribu akisikia sauti yangu tu anakata cm
Kwa uelewa wangu mdogoHabari wana jamii...naomba mnisaidie yapata miaka mitano sasa toka nimekuwa naye kwenye mahusiano na tukapanga kuoana mwaka huu mwez wa 4 huu mpango tuliuweka toka mwaka 2012...cha ajabu namuuliza tarehe yakuja nyumban anijibu...nikimtumia SMS hajibu nikipiga cm hapokei...na yeye yupo mbeya me npo mwanza..na hapo nyuma nimekataa wachumba wengi sana kwa ajili yake....nipo njia panda sijui chakufanya ...mawazo yenu ni yamuhimu sana
Me si mlazimishi ni ahadi tuliyojiwekea kwann? Haivunje na yeye ndo wakwanza ( kanibikili) Mara ya mwisho kuonana Naye mwaka Jana mwez wa 7Kwahiyo unamlazimisha hata kama kaahirisha?
Ni kawaida kubadili mawazo sio lazima akuoe hata kama anakuona we ni jipu. Suala la kuoana ni la milele, kwanini alazimishe? Tafta wengine ambao hawajaoa kama mimi
NaavachePolee