Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,824
- 47,427
Mkuu unamrudisha mtafutaji arudi huku mbona hapa wapo masikini wengi tuu mnawasaidiaje mnataka walio Nje warudi home...huyo muache apambane akipata fursa USA ni rahisi kufanikiwa kuliko ambao tunajadili kero za TRA...Nchi za ulimwengu wa tatu hizo....ni masikini..unafanya nn huko bora urudi tz ama tafuta kona nyingine...