Mtanzania ninayeishi Venezuela: Niulize chochote

Mtanzania ninayeishi Venezuela: Niulize chochote

Yule hawezi kamatwa maduro anamuogopa marekani kinoma ila anajikakamua
Guaido anapendwa hapa town na baadhi ya miji ila vijijini hawana muda na siasa
Maduro hawezi kuondolewa madarakani mwezi wa tatu russia ilimpa ulinzi kwani alishaomba hifadhi kwenda cuba ila russia ikaahidi kumlinda kwahiy bado yupo yupo sana
Nijuze kuhusu mgogoro wa Maduro na Guaido, Kwanini Maduro anawakamata wengine tu huyu kenge hamsweki ndani? Ushiriki wa Urusi ni mkubwa kiasi gani? vipi America anaweza kushinda hiyo game?
 
Ujakimbilia colombia. Maana nasikia huko makabwela mnaoshi kwa kudura hakuchi kunakucha mnavumilia njaa. Rudi nyumbani kumenoga. Ni haibu kuishi kwa dhiki ugenini by the way venezuela na most of south america ni sawa au chini ya hapa koromije.
Nipo hapa jiji kuu carcas napunga upepo na wanangu ila kuna kiongozi analiamsha balaa hata muda wa kula bata hamna tunajifungia tu
Ukiuliza swali la kizushi unakula bloko
 
Yaani utoke Venezuela kwa mguu hadi USA utafika ukiwa miaka 3 ijayo.
Kasema anasubiri 'caravan' siyo kwamba anaenda kwa kutembea, nadhani ungejiuliza tafsiri ya neno husika na lugha aliyotumia.
 
Ujakimbilia colombia. Maana nasikia huko makabwela mnaoshi kwa kudura hakuchi kunakucha mnavumilia njaa. Rudi nyumbani kumenoga. Ni haibu kuishi kwa dhiki ugenini by the way venezuela na most of south america ni sawa au chini ya hapa koromije.
Tembea usisubiri kuhadithiwa, utalinganisha kweli nchi za Latin America na za Africa kwa standard ya maisha. Haya madhila yanayowakuta Venezuela currently ni kwa sababu za kisiasa lakini ni ya temporary, Marekani watabana mpaka utawala wa mrengo wao utakapokuwa unaongoza ndiyo wao na mashirika ya kifedha ya dunia yatafungua milango na hali itarudi kama ilivyokuwa.
 
Ujakimbilia colombia. Maana nasikia huko makabwela mnaoshi kwa kudura hakuchi kunakucha mnavumilia njaa. Rudi nyumbani kumenoga. Ni haibu kuishi kwa dhiki ugenini by the way venezuela na most of south america ni sawa au chini ya hapa koromije.
Haha njaa ya hapo utautafuta ubalozi mwenyewe wa nchi yako. Hao sio watu kabisaa
 
Haha njaa ya hapo utautafuta ubalozi mwenyewe wa nchi yako. Hao sio watu kabisaa
Si ndo hapo wakati bongo japo tuna mambo yetu ya kutekana lakini "if you watch your steps" tuna unafuu na fursa zipo nyingi na maisha yanasonga tukisubiria foleni yetu ya makaburini ifike
 
Nipo hapa Jiji kuu la Caracas napunga upepo na wanangu ila kuna kiongozi analiamsha balaa hata muda wa kula bata hamna tunajifungia tu.

Ukiuliza swali la kizushi unakula bloko
Nchi za ulimwengu wa tatu hizo....ni masikini..unafanya nn huko bora urudi tz ama tafuta kona nyingine...
 
Back
Top Bottom