Mtanzania msada wako wa kimawazo Unahitajika.

Black Jesus

JF-Expert Member
Mar 7, 2008
256
9
katika miaka hii ya karibuni tumeshuhudia matokeo mengi katika Nchi yetu, miongoni mwa hayo ni kueleweka kwa Viongozi wanao shutumiwa na Ufisadi zidi ya mali za nchi, na kundi jengine ni lile la Vigogo wa Madawa ya kulevya ambao majina yao yapo kwa Mheshimiwa Rais kwa muda mrefu sasa.

Chakushangaza hakuna hatuwa zozote zilizochukuliwa au zinazochukuliwa za kisheria zidi ya watuhumiwa hao isipokuwa ni porojo na ahadi za uongo za viongozi wetu na vyombo vya dola.

Hivi ndugu zangu watanzania wezangu nini kifanyike, nini tufanye tuondokane na hali hii ya kidanganyifu iliyodumu kwa muda mrefu sasa ?
 
Kuunda kundi la kigaidi ambalo litapambana na serikali kwa kuwafanyizia viongozi na vitega uchumi vyao kwa kupitia mbinu ya "ambush" mpaka wasalimu amri na kuomba muafaka; ila angalia usije ukadakwa tu.
 
Hongera sana kwa kuwa na wito huo. Lakini nadhani umeshabaini kwamba wengi humu ni porojo tu. Isitoshe, ni wachache wenye majina na sura za kweli. Wengi ni wanafiki au wapo kazini.

Mabadiliko Tanzania yatatokea mitaani, sio kwenye mitandao ya kijamii kama JF. Yakitokea huko mitaani, wengi ya wana JF ndio utawaona wakienda mitaani ili wawe sehemu ya historia, badala ya hali kuwa kinyume ya hivyo kwa wao ndio kuongoza wenzao wa mitaani na kutengeneza historia mpya ya nchi yetu.

Sana sana tumia JF kupata tu mawazo na taarifa mbalimbali kuhusu matukio katika jamii yetu.
 
Government policies take time to bear fruits. What you see now in the country is what the country sow in 60s, 70s, and 80s. Basically we have a generation that talks a lot and does very little. The generation that isn't bold enough to admitted mistakes, correct them and move on.

When I discuss something with my fellow Tanzanians, I sense that they know what should be done in the country. However, since they carry their own baggage they hesitate to take the right steps for fear of being hypocrites. Basically they take actions that are against their own conscious even though they know that they aren't right.

For example, we have wonderful contributors in this forum. However, very few have so far revealed their identities. And some have gone to greater extent to use multiple accounts in order to give weight to what they say or to address diversity of ideas and thoughts in one topic. So instead of constructive ideas, we have discussions to fulfill our intellectual curiosities.

That said, I believe it's time for new beginning. We need bold and courageous individuals who are clean or who will be able to admit their short comings and help the country to move on.
 
Back
Top Bottom