NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,959
- 2,938
Ngano kg 25 unakuta kg 21Huo utaratibu hata huku kwetu haufai siku hizi
wale wafanyabiashara wa mafuta, sukari, chumvi ambao wamekuwa kama wachina wakiwa na viwanda vidogo vidogo ndani wakitengeneza mifuko bandia za kampuni mbali mbali za sukari kama Kagera na mtibwa sugar wenyewe wanasoma namba ndani
Mfuko wa sukari kilo 50 unakuta kilo 45, na 25 Kgs unakuta 23Kgs
Mafuta lita 20 utakuta lita 17.