Mtanzania: CHADEMA yajichulia kifo

Mtanzania: CHADEMA yajichulia kifo

Nina maashaka na watu wanaojiita CHADEMA ushauri huu una maana kwa sisi sote na taifa kwa ujumla mimi siyo mwanachama wa CHADEMA ila mimi ni mwanachama wa NCCR - MAGEUZI ila nakiunga mkono CHADEMA na uchaguzi mkuu nitakuwa kijijini kwa ajiri ya CHADEMA ila nashangaa ndugu zangu baada ya mtu kukosoa kitu kwa hoja ili kuleta utengamano na umoja kwa chama anatoa mitusi na kuwatukana watu, walitoa ushauri ni wasomi na hata kama ni hisia zao lakini ebu tuwe na adabu kidogo maana humu ndani kuna wasomi na wanaheshima zao sasa vijana wetu kwa nini mnakosa hekima na uvumilivu yawezekana wanaotukana si CHADEMA ila ni watu wanalipwa kuchafua taswira ya chama tuwe makini wafuasi wa CHADEMA tunakitegemea chama kuwa ni tumaini kwa sote mimi binafsi bado nawamaindi sana
 
Na ili kuinusuru nchi Tanzania inabidi CCM wapumzike kutawala maana wameshindwaa kuiongozaa waachie vyama vingine

Na ccm itakufaje kama cdm wanaoza. Lazima chama cha upinzani kiwa hai ndipo chama cha utawala kitakufa. Sasa nani wa kukiua. Mfu hawezi kuuua labda uamini kwenye mazingra.
 
Wasomi mnaowasemea si ndo hao waliolifikisha taifa hapa lilipo tokea tupate UHURU zaidi ya miaka 50 au ni wasomi gani wanaosemewa?
This is completely nonesence
 
:blah: :blah::blah::blah::blah::blah:..............Machadema ni maj.nga sana
 
Sasa kama haikuwahi kutawaliwa ilikuwaje wakapata uhuru?. Mwiba

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Kama mnafikiri CHADEMA inakufa subirini kipigo kikali na kisicho na huruma kwenye uchaguzi mdogo mwezi ujao na kimbunga cha kipigo katika chaguzi za serikali za mitaa.
 
unategemea nini kutoka kwa gazeti linalomilikiwa na rostam....hili gazeti limepoteza dira now dayz ni kama gazeti la udaku linaandika story za kusadikika na lengo lake ni kumbeba lowasa raia tushalistukia mapema

Kwli sikio la Kufa halisikii Dawa! Unalaumu Gazeti wakati hayo ni Maoni ya Prof Maina, Baregu,Marando na Prof. Ngowi. Maoni kama haya hutaweza kuyaona kwenye Nipashe au Tanzania Daima. Wewe ulitaka waripoti kinyume na maoni ya waliowahoji ili wakufurahishe?? Sio kila jambo ni kulaumu Gazeti, Kama kulaumu laumu waliotoa Maoni badala ya kulaumu walioandika hayo maoni.
 
CCM wanayo shida..hivi vimbwanga vya kuokoa roho yao ni kazi kubwa sana.
 
Kwa taarifa yako huyo askofu gerlad mpango, mliyemvumisha kuwa ni mwana mageuzi na amesaidia kuijenga chadema ni uzushi na uwongo wa hali ya juu, kwani askofu mstaafu mpango ni mwana c.c.m na 2010 aligombea kura za maoni jimbo la kasulu mjini akatupwa nafasi ya tatu.

Baada ya hapo akata kulejea kanisani,kanisa likakataa.

Nimeshasema kutokana na shughuli zangu za kiofisi mwezi huu nitakuwa kigoma hivyo kutokana na kuufahamu vizuri mkoa huu naomba waandishi wa mtanzania na magazeti mengine msiwe wapotoshaji, huku zito hapendwi kama mnavyosema. Kwani wengi wamezidi kukikubalio chama kutokana na maamuzi magumu yaliyochukuliwa dhidi hao vijana walio saliti chama.


Je, zitto kwanini juzi hakufika kibondo,kakonko,buhigwe na kasulu vijijini? Angefika kibondo ndio angejua nini manaana ya wha wahambwe!

Ikosikiku hawa waandishi wa magazeti yenye mlengo wa c.c.m watakuja kukiri kuwa chadema ni chama imara na bora kuliko vyote nchini.
 
Ni kweli kabisa CCM+CHADEMA wote hovyo tu

Mkuu,
Kuifananisha CDM na CCM ni sawa na kuifananisha NURU na GIZA!Yaaani hawa tuliowapa nchi na wakaishia kuiba,kubaka,kuuza tembo,kupiga dili,kuuza "sembe",kuuza bange uwafananishe na CHADEMA?

You must be out of your mind!!!
 
:blah: :blah::blah::blah::blah::blah:..............machadema ni maj.nga sana

wana jf hatuvalishi watu ne.pi kijana kakue kwanza! Hapa siyo fb ,ni watu wenye fikra mtambuka zakulikomboa taifa na utawala dhali.m.u wa c.c.yemu. Tuko pamoja kijana badilika!
 
Kwani chadema wana lengo la kuwa chama tawala??
Mkuu Waberoya

Nakumbuka miaka ya nyuma humu jamvini ulikuwa unawapa sana ushauri Chadema walikuwa wanakutukana sana, lakini leo wanakumbuka ushauri wako jua limezama.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Waberoya

Nakumbuka miaka ya nyuma humu jamvini ulikuwa unawapa sana ushauri Chadema walikuwa wanakutukana sana, lakini leo wanakumbuka ushauri wako jua limezama.

ukipewa ushauri na punguwani utaupokea?

by the way...hatukumuomba
 
Mkuu Waberoya

Nakumbuka miaka ya nyuma humu jamvini ulikuwa unawapa sana ushauri Chadema walikuwa wanakutukana sana, lakini leo wanakumbuka ushauri wako jua limezama.
Ni kweli Waberoya alisema Zitto alisaliti serikali halali ya DARUSO na huo usaliti unaendelea kumtafuna hadi leo,

Nyepesi nyepesi, nasikia Mwigulu, Ridhwani, na Nchimbi wamepigwa stop kuingia kwa Obama kwa kujihusisha na ugaidi na sembe, ya kweli hayo?
 
Kipi cha uongo kilichoandikwa hapo? Jenga hoja acha kumshambulia mtu, kwani we unataka tuwe tunasoma gazeti la mbowe tu?

.
Magezeti ya Mtanzania, Raia mwema, raia mtanzania kwa sasa ndio mahazeti yanayododa sana katika vibao vya wauza magezeti kwa sababu ya kuandika habari za kufikirika. Ni hivi hivi Rai lilijifia natural death maana kwa wakati huu watanzania wameisha vuka tambo za propaganda. Hawadanganyiki kwa staii ya mtindo wa mwaka 47.
Swali la msingi kujiuliza ni hili. Ni kikao kipi au baraza ndani ya Chadema wametoka pasipo kuelewana? Na kama katika kila kikao waameamua kwa kura na kutoka wakiwa wamoja na nia moja huoni kwa sasa ndio chama cha chadema ni imara kuliko wakati wote kiliopata kuwa?
Propaganda za kuchumia tumbo wakati huu wa ukombozi wa pili watanzania hatuzihitaji hata kwa mda wa kupesa kupe za macho. Moto umeisha washwa hakuna wa kuuzima.
.
 
wana jf hatuvalishi watu ne.pi kijana kakue kwanza! Hapa siyo fb ,ni watu wenye fikra mtambuka zakulikomboa taifa na utawala dhali.m.u wa c.c.yemu. Tuko pamoja kijana badilika!

Teh teh teh...you are just another miserable failure in this country...pole.
 
Back
Top Bottom